Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Unadhani kwa hiyo akili finyu utakaa umwelewe Profesa??? Labda upewe muda wa kusoma miaka 600 non-stop ndipo unaweza kupapasa kidogo.
 
Hawezi kamwe kukuelewa huyo; kazi yake kuongoja salary slip ya bure
 
ilitakiwa lugha ya kuwapooza mabeberu na siyo kuwafanya hamnazo
kuwapiga mabeberu mkwara mbuzi ni ujuha wa viwango vya juu
mabeberu wanatuhitaji ila tunawahitaji zaidi
siyo vyema kudhihaki wengine na kuwaona hawafai bw prof
 
dua la mwewe😂😂😂
 
Unadhani kwa hivyo akili finyu utakaa umwelewe Profesa??? Labda upewe muda wa kusoma miaka 600 non-stop ndipo unaweza kupapasa kidogo.
Huyo prof asiyeweza kujieleza kwa kutukana wahisani na kushindwa kujibu hoja, hao hao wapuuzi anaowaita then wanaenda kuomba msaada ka si ukichaa nini?
Warudishe hela za corona walizotumia matumizi yasiyo sahihi
 
Ila kabudi hyo wizara imemshinda uwezo na akili kulikuwa Kuna haja gani kuwaita hao wabunge wa EU wapuuzi wakati EU michango yake kwa taifa ni muhimu, ni Bora hyo wizara ingempata January Makamba naona anafaa ana exposure flani hivi
CCM wote wanafanana,bora hata wangempa huo uwaziri huyo chalii hapo chini.
 
aondolewe kwa lipi
 
kwa majibu yale ni zaidi ya robot ni kama msukule
 
Hadi aibu hafu Raisi anaamini kuwa na Dr na prof ndio kuwa na akili za utendaji kumbe wao ni kufundisha na utendaji wao wa kazi wanaweza shindwa hata na diploma mwenye uzoefu kwenye management
Ndiyo maana hatufanikiwi tumejaa ubabaishaji tupu
 
Hivi nan amesikia neno "Tanzania haijawahi kushindwa vita.." unga dot na kinachoendelea kusini.

So inaweza kuwa bahati mbaya na kuwaita wahuni???

Muda ni hakim mzur saana.
 
Kabudi ni hamnazo. Amewekwa pale kama mwana diplomasia ili kuweka mambo sawa, yeye anakwenda kupenga makamasi wakati watu wana dine na kuchafua hali ya hewa huku akiharibu appetite za watu.
Miaka hii analeta mambo ya Kigangwe!!!
Ndio kaweka mambo hivyo mkuu
Wewe ulitaka afanyeje😁
 
ilitakiwa lugha ya kuwapooza mabeberu na siyo kuwafanya hamnazo
kuwapiga mabeberu mkwara mbuzi ni ujuha wa viwango vya juu
mabeberu wanatuhitaji ila tunawahitaji zaidi
siyo vyema kudhihaki wengine na kuwaona hawafai bw prof
"Kuwapooza mabeberu"??? Hawana nidhamu hao. Wanadhani Tanzania ni koloni la London & Washington
 
Uchwara ni CCM ambao wameulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani huku kutwa kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mateso kuwapiga risasi wapinzani, Kabudi siyo mtaalam bingwa ni profeselii mjinga mjinga aliyookotwa majalalani ndiyo maana kajitoa fahamu karopoka ujinga kifala fala pasipo kutafakari kabla
 
Ufipa mumegeuka watabili wa hali ya hewa, sio?
Poa, Endeleeni kutabiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…