Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo


Inasikitisha zaidi Ile kauli yake ya kwamaba Tz haijawahi kushindwa vita, Mwl nyerere alirudisha msaada UK.... Alafu anawaomba wakae wajadili...!

Shida wameshakalili vita vya uchumi... Kauli inayoaminishwa kwa jamii kwa jina baya mabeberu...
Hapo hapo wakishakaa meza moja wanawahita wahisani...
 
Huwa wakati mwingine huwa nawaza tu kuwa waandika haya yote ukiwa umekwea mti umepanda hadi juu kabisa waangalia chini huku waandika.
 
Nadhani hujamwelewa vizuri Dkt. JPM na timu yake makini. Tanzania hii siyo tena ile ya zamani ya kuonewa na kugeuzwageuzwa kama samaki wa kubanikwa; sasa mwendo ni wa kula sahani moja na wazushi & wabagazaji wa nchi yetu. Nchi kama Marekani ukiisema tu kwenye official news outlet, jiandae kubananishwa kama taarifa yako ina tashwishwi wasiyoipenda.
 
Huwa wakati mwingine huwa nawaza tu huwa waandika haya yote ukiwa umekwea mti umepanda hadi juu kabisa waangalia chini huku waandika.
Usimlaumu sana maana bongo zao hao jamaa wote zimehifadhiwa kwenye majokofu huko England na EU.
 
Amewaita bunge la EU watu wahuni wachache., natamani hii kauli waipate wale mabeberu wanaoenda wakipigiwa magoti
Mbona jina lao kamili hilo??? Uhuni ni tabia yao maana pesa wametoa wao Septemba, leo wanahojije kwamba zilikuwa ni za nini??? Walikuwa wamesinzia wakati wanazitoa, au??? Huo ndio uhuni wenyewe!
 
Asante Asante
 
Arudi chuo kibabu kabudi anayezeeka vibaya na kuwa mropokaji kama mvuta Bangi
Umetaja "kuvuta bangi" vipi wewe ni mshirika maana bandiko zako zinaakisi mtu wa aina hiyo. Unahitaji kujisalimisha kwenye huduma ya hao watu (rehabilitation centre) kabla hujachanganyikiwa kabisa
 
Hawezi fukuzwa maana hata wakuu wake wana "verbal diarrhoea"
 
Mbona jina lao kamili hilo??? Uhuni ni tabia yao maana pesa wametoa wao Septemba, leo wanahojije kwamba zilikuwa ni za nini??? Walikuwa wamesinzia wakati wanazitoa, au??? Huo ndio uhuni wenyewe!
Buku 7 unazopata kwa mwezi ndio zinawapa kiburi, angalia leo na kesho hutakuwa na thaman yeyote, wanaoumia ndugu zak watanzania, hawo wafadhili wanakuchangieni mpaka rula na penseli za kuandikia watoto wenu mashuleni achilia mbali vikalio na mishahara yenu pamoja na hayo majengo ya shule
 
Wataharibu wenyewe na baadaye watawalaumu wapinzani! Kabudi alitakiwa kujibu tu hoja ya mamilioni ya Euro walizopewa kwa ajili ya corona soko wapi!!
 
Hakuna hata siku moja kwenye mambo elfu unayoshinda humu kuandika lililotokea hata moja. Elewa hujui uchambuzi labda yale mambo ya faragha uliyofundishwa
 
Mfano wako haufananani yule mama wa ssra hakukurupuka ila alitolewa kafara baada ya wabunge na vyama vya wafanyakazi kuhoji lakini tangia aondolewe umeshajiuliza kwanini watu wakistaafu, kuacha kazi au kuachishwa hawapati pensheni zao au kwanini serikali haikupeleka mswada wa kubatilisha wale waliyopitisha juu ya mafao ya wafanyakazi.
 
Kabla sijamaliza, naomba niwape na scenario ya tatu: Kabla jua halijazama, Kabudi anaweza kujitokeza hadharani na kusema amenukuliwa vibaya ingawa hii haitamsaidia litapokuja swala la kutolewa mbuzi wa kafara.
Kwani da mange kasemaje
 
Kabudi ni hamnazo. Amewekwa pale kama mwana diplomasia ili kuweka mambo sawa, yeye anakwenda kupenga makamasi wakati watu wana dine na kuchafua hali ya hewa huku akiharibu appetite za watu.

Miaka hii analeta mambo ya Kigangwe!
Paramagamba Sindano imeanza kuingia shikilia hapohapo. Hii habari angekuwa ndo yupo Mzee wa dakika ya 89, nikisaini wino mwekundu pale uwanja wa Taifa sijui Mabalozi wa watokako waliochallenge Mambo ya kutengenezwa na Wapiga dili woote wangekuwa wamerudishwa kwao.
 
Tokea ile hotuba ya huyu professor aliyoitoa wakati fulani kule kenya kweli nilijua kisomo chake alikiacha kwenye majengo au maabara za udsm yeye akaondoka kama yeye.
 
Kabudi ni hamnazo. Amewekwa pale kama mwana diplomasia ili kuweka mambo sawa, yeye anakwenda kupenga makamasi wakati watu wana dine na kuchafua hali ya hewa huku akiharibu appetite za watu.

Miaka hii analeta mambo ya Kigangwe!
Nakaza hapa
 
Fedha za nyumba ni Choo ni za wafadhili, chanjo zote za watoto ni msaada ya wa fadhili, Pesa za Tasaf, vidonge vya kufubaza virusi(ARVs) , mikopo na misaada yao kwenye bajeti aslimia 60, Vyandarua vya mbu, vyote hivi hatuvitaki au sio kabudi.

Babiani mbaya lakini................
 
Yes, time will tell; but he has all the support from the employer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…