Tena ni wapuuzi kwelikweli.Usidhani eti kwa kuwa ni wabunge wa EU hawawezi kuwa wapuuzi.Wale ni binaadamu tunatofautiana rangi tu.Eti kwa sababu wanatoa misaada ndiyo wachukue na utu wetu.Kwa staili hiyo pamoja na hiyo misaada yao hawana adabu.Ila kabudi hyo wizara imemshinda uwezo na akili kulikuwa Kuna haja gani kuwaita hao wabunge wa EU wapuuzi wakati EU michango yake kwa taifa ni muhimu, ni Bora hyo wizara ingempata January Makamba naona anafaa ana exposure flani hivi.
Unatukana mkono unaokulisha sio, mtu anakupata misaada mingi bado mnawatukana kwanini msitumie uugwana maana masharti yao mojawapo ni democracy that's why wanatoa hyo condition.Tena ni wapuuzi kwelikweli.Usidhani eti kwa kuwa ni wabunge wa EU hawawezi kuwa wapuuzi.Wale ni binaadamu tunatofautiana rangi tu.Eti kwa sababu wanatoa misaada ndiyo wachukue na utu wetu.Kwa staili hiyo pamoja na hiyo misaada yao hawana adabu.
Kwanini hiyo story ya sayansi usiilete wewe?Huna jambo jingine zuri la kuzungumzia zaidi ya kutafuta makosa ya viongozi ili usikie wakitumbuliwa? Huo mimi binafsi ninauita umasikini wa akili. Wewe ni kiumbe mfu na mzigo kwa Taifa letu. Ningekushauri jichimbie mwenyewe kaburu ujizike.
Lete Story nzuri kuhusu sayansi ya leo ili vijana wetu wasisimue ubongo wao badala ya kuspeculate mambo ya kike ambayo hayana tija. Kwani ulisikia Professor Kabudi ni robotor ambayo ikiwa programed inafanya kazi tu bila kukosea? Kama binadam kwanini asikosee? Kama kweli kuna kosa kwenye hotuba yake ya jana.
Mbali na hayo huyo mtumbuaji wako yeye ni mungu? Naye hafanyi makosa? Usipende ku m-demonize Rais wetu kana kwamba yeye hana soul.
Kabudi ataondolewa bila shaka, ameongea vague against EU. JPM atapanga strategy na atakayewekwa kwenye wizara hiyo ya kuomba kukaa meza moja na Jumuiya ya Kimataifa ikiwemo EU ili kunusuru mambo.Kabudi ni hamnazo. Amewekwa pale kama mwana diplomasia ili kuweka mambo sawa, yeye anakwenda kupenga makamasi wakati watu wana dine na kuchafua hali ya hewa huku akiharibu appetite za watu.
Miaka hii analeta mambo ya Kigangwe!
umeeleza kwa kirefu saaana lkn mantiki na hotuba ya huyo jamaa wa CDU hujaiweka, mm nahisi hakuwepo, ila Mwenyekiti mwenyewe wa Kamati ya Mambo ya Nje wa Bunge hilo Dkt David McAllissterHuu si ndiyo mchango wako wa mada iliyotolewa? Nimi nimekujibu accordingly. Sasa inakuwaje mimi niko out of the context? Ukifuatilia mazungumzo ya hiyo kamati ya Bunge lako tukufu la Ulaya utaona mchangiajia hoja mmoja wapo mkubwa kwenye huo mjadala wa hiyo kamati alikuwa Penner mmoja wa kutoka chama cha CDU cha ujerumani na yeye wewe ndiyo unamwona amechangia hoja ya maana sana kiasi kwamba matamshi ya waziri wako wa mambo ya nchi za nje unamwona ameshindwa kazi yake.
Na ndiyo maana nika kuambia kuwa huyu ni Penner, kwani hata kupiga meno mswaki hajui na mtu yuko Ulaya.
Lakini kwa mkoma kama wewe unaona sawa maadam ni mzungu. Nyie ni washamba sana na malimbukeni wa wazungu.
Hawa jamaa pesa wanatoa sana kwa ajili ya COVID-19 lakini matumizi hawataki kuyaweka bayana wala kukiri ugonjwa haupoWataharibu wenyewe na baadaye watawalaumu wapinzani! Kabudi alitakiwa kujibu tu hoja ya mamilioni ya Euro walizopewa kwa ajili ya corona soko wapi!!
UmejitahidiUnatukana mkono unaokulisha sio, mtu anakupata misaada mingi bado mnawatukana kwanini msitumie uugwana maana masharti yao mojawapo ni democracy that's why wanatoa hyo condition.
Sasa wasipotoa hyo misaada raia maskini ndio wanaoumia Raisi na wenye vyeo vyao hawatapata ugumu wa maisha, tusitake kurudi enzi za nyerere ambapo umaskini ulikithiri kisa umaskini jeuri na kutukana mataifa makubwa, china yenyewe inatafta support na foreign investment huku Tanzania tusio na mbele Wala nyuma kuwatukana
[emoji23][emoji23][emoji23]Umejitahidi
Ubebeberu=Imperialism;CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu unyanyasaji uonevu wizi ufisadi wa CCM ndipo hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
Hizo kelele za Mhe Kabundi ni kiashiria kuwa 'mahera' ya 'mabeberu' yameliwa kusiko. Ila kichekesho ni kuwa hiyo vita asemayo Kabundi nani anaenzisha?Kwa yale maneno yake ya jana nimeshangaa yaan kweli kusoma sio kuelimika bali kupata kazi na Kabudu amethibitisha hilo.
Mnaulizwa kuhusu ufisadi wa Kula hela za watu alitakiwa amjib kuhusu euro million 27 zimetumikaje yeye anenda kuparangaparanga maneno kama anatoka kutoa mzigo chooni.
Yaan utapeli hela za watu wenyewe hata wasiulize huo utakuwa ujinga wa kiwango cha juu.
Kweli kabisaHizo kelele za Mhe Kabundi ni kiashiria kuwa 'mahera' ya 'mabeberu' yameliwa kusiko. Ila kichekesho ni kuwa hiyo vita asemayo Kabundi nani anaenzisha?
Nyerere alikuwa na msimamo imara sana lakini ni wa kukataa kupokea misaada yenye masharti. Kamwe hakuwa anakataa kutoa maelezo ya mahela nchi iliyoyaomba na kupokea.
Hata hivyo hali ilivyozidi kuwa mbaya kwa watz alikuja akajishusha, mipaka na majirani ikafunguliwa na bidhaa muhimu zikaanza kuingia (Sokoine 1983). Pia nchi ikakubali baadhi ya marsharti na mihela kutoka IMF, WB na 'mabeberu' wengine ikaingia.
Nae kama muungwana akatangaza kuung'atuka, huku akiwashauri wale aliokuwa nao kwa muda mrefu pia wang'atuke nae.
muwe mnatumia hata akili kidogo kufikiri hii itasaidia nchiProf Kabudi ni mtaalamu na bingwa, asiye na mfano katika Taifa hili, kuhusu masuala uliyoyataja. Hivyo basi Mkuu Salary Slip utaomba dua sana na kusubiri zijibiwe bila mafanikio.
Labda umesahau mapema tu, kwamba ulijiaminishi hao viongozi wako, wanasiasa uchwara kwa kuwa hawakusoma nyakati, watashinda katika Uchaguzi Mkuu, matokeo yake wakashindwa vibaya.
Ungeanza wewe kwa hoja badala ya hicho kihojamuwe mnatumia hata akili kidogo kufikiri hii itasaidia nchi
Kafie mbali falah wewe. Hujui hata kitu gani unachochangia. Potezea mnali na fikra zako za kingumbaru. Majuha mnashida.Hizo story nzuri za kisayansi andika wewe sasa, yeye kaleta uzi wake kuhusu hiyo kasoro ya huyo waziri, na wala hajakukaribisha kwenye uzi wake, ni kiherehere chako tuu umevaa dera na kuuvamia uzi wake huku ukijifanya mjuaji. Shusha uzi wako uweke mapambio kama yote badala ya kudandia nyuzi za watu.