YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa CHADEMA watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo malalamiko yameanza tayari kuwa zoezi linaonekana kuwa na sura ya kikabila na kikanda kwenye kupunguzana
Pili kuna malamiko ya mafao Watakayolipwa na pia baadhi yao baada ya kwenda kuangalia statement zao NSSF wengi wamekuta mwajiri CHADEMA alikuwa hapeleki michango
Pili kuna malamiko ya mafao Watakayolipwa na pia baadhi yao baada ya kwenda kuangalia statement zao NSSF wengi wamekuta mwajiri CHADEMA alikuwa hapeleki michango