Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

Wanaohimizwa kujiajiri na Watawala wanazidi kuongezeka.
 
Sasa kama michango haionekani NSSF una uhakika kwamba NSSF washaupload kwenye database yao? Kama Chadema wangekuwa hawapeleki NSSF kwa ukaguzi anofanya CAG wangekuwa washapigwa hati chafu pia mgazeti ya kina tetere mchange na mwenzake ngumbaru musiba wangekuwa washapublish tu zamani.
CAG huwa hahakiki kila uliyemlipa kuwa ulimlipa sio kazi yake mfanio ulijaza mafuta hewa ya magari sio kazi yake kwenda petrol station unakodai ulijaza ahakiki kama kweli ulijaza !!!! Vinginevyo asingemaliza kazi ya auditing milele angeishia kukagua CHADEMA tu

Sasa ndio itaeleweka vizuri kwenye hili zoezi la kupunguzana kama CHADEMA walikuwa hawapeleki Hela za NSSF sababu ni mtu real anaondoka chake anakitaka hapo hakuna porojo za sijui CAG kilienda kikarudi nooooo Mtu anasema pesa yangu NSSF haipo!!!

Hiyo my appload siasa sasa hivi kila kitu automated mchango ukitua unakuwa updated hapohapo system yao sio manual!!!
 
CAG huwa hahakiki kila ulimlipa kuwa ulimlipa sio kazi yake mfanio ulijaza nafuta hewa ya magari sio kazi yake kwenda petrol station unakodai ulijaza ahakiki kama kweli ulijaza !!!! Vinginevyo asingemaliza kazi ya auditing milele angeishia kukagua Chadema tu

Sasa ndio itaeleweka vizuri kwenye hili zoezi la kupunguzana kama Chadema walikuwa hawapeleki Hela za NSSF sababu ni mtu real anaondoka chake anakitaka hapo hakuna porojo za sijui CAG kilienda kikarudi nooooo Mtu anasema pesa yangu NSSF haipo!!!

Hiyo my appload siasa sasa hivi kila kitu automated mchango ukitua unakuwa updated hapohapo system yao sio manual!!!
Umeandika nini sass mkuu yaani ueleweki
 
Sijasema kuna shida wala wafanyakazi hawajasema hawataki walacholalamika ni zoezi kuendeshwa kiupendeleo wa kikabila na kikanda na suala la watakacholipwa kama mafao na swala la michango yao kupelekwa NSSF

Umbea tu!
 
Tetesi mnajadili hivi?

CAG kaweka hesabu mezani kuwa Trillion 1.5 zimepigwa mkatoka nduki , hivi mnapigania maendeleo ya wapi nyinyi!!
 
Kweli mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe!!
Yaani madudu yote haya!?
Ajira hakuna!
Mikopo ya Elimu ya juu haitoshi!
Makampuni kibao yanapunguza wafanyakazi!
Sekta binafsi imeanza kufa tangu 2015!
Hakuna nyongeza ya mshahara!
Nchi ipo hoi haiwezi hata kuajiri walimu wake!
Miaka 60 ya Uhuru,hatuwezi kuzalisha sukari,mafuta ya kutosha.
Harafu wewe unazungumzia CHADEMA ajira.
 
CAG hakukagua compliance ya chama ? Vp TAKUKURU waliofanya forensic Auditing kuanzia usajili wa chama mpaka minutes za vikao na rekodi zote za malipo!! Hawakuliona hili

Basi Mbowe ana akili kuliko majasusi waliojazana TAKUKURU???
Nawashangaa nyie mnao argue na mtu kama YEHODAYA, huyu ni wa kiwango cha chini mno, mno.
 
Ruzuku haijapungua bali haipo kabisa - yaani ni sufuri maana hata ile kidogo (sh 100 million kwa mwezi) wanayostahili kuipata wameisusa. Waliyokuwa wanawakata wabunge wao kila mwezi kwa mjibu wa katiba yao (viti maalum 1.5m kila mbunge kwa mwezi na 0.5m kutoka kwa kila mbunge wa jimbo kwa mwezi) haipo tena kwani wamewasusa wabunge wao. Waliyotegemea kutoka kwa marafiki zao wa nje ya nchi haipo (?kwa kisingizio cha corona) na serikali hairuhusu pesa hiyo kuingia nchini (kwa kisingizio cha money laundering). Waliyotegemea kuwa wanachangiwa kila siku na wanachama wao kupitia mitandao ya simu nayo haipo kwani wanachama wao wengi aidha wameshakihama chama au walishakata tamaa kutokana na kutokuwa wanapewa taarifa za makusanyo na matumizi ya fedha wanazochanga.

Hivyo si tu wafanyakazi wa chama hicho watapunguzwa bali wafanyakazi wote wa chama hicho hawatakuwa wanalipwa mishahara ye yote. Watafanya kazi hizo kwa kujitolea on part- time basis huku wakifanya kazi zao nyingine za kujipatia kipato. Sasa hivi wanachangishana pesa za kuweza kuitisha mkutano wa baraza kuu kujadili wabunge wao wa viti maalum. Ni shida juu ya shida. Hadi kufika 2025 uhai wa hiki chama unaweza ukatoweka unless ........ !?
 
Hili nilijua lazima litatokea, watabaki wachagga tu hapo ufipa. Akina salary slip na wenzio poleni sana
 
Kheri CHADEMA inapunguza idadi ya wafanyakazi, CCM mwanzo mwa awamu ya tano ilipofirisika ilichota pesa za umma, siku ya pili wafanyakazi woooote wakalipwa mishahara yao!
 
Hakuna kipindi CHADEMA ililaumiwa kama 2005-10 kwamba makao makuu ilipendelewa sana hadi mikoani kukasahaulika.

Mbowe alichofanya ni kukipeleka chama kwenye level ya kanda na hata bajeti imeongezwa huko so makao makuu kukitokea retrenchment haina madhara sababu nguvu yote ilipelekwa ngazi ya kanda ndio maana unaona hta kanda zina uwezo wa kujenga ofisi zao na kuendesha harakati bila kusubiri ufipa.

Then CHADEMA haitegemei ruzuku tu kujiendesha otherwise isingekua na uwezo wa kufanya operesheni za kichama karibu kila wiki miaka ya 2007 ambapo Ruzuku ilikua chini ya 60 Million kwa Mwezi!!!
Natumai wajinga wa Lumumba wamekusoma na kukuelewa, kama CHADEMA iliweza ku-survive kwa ruzuku ndogo miaka ya nyuma kwa nini kife leo kwa sababu ya ruzuku kupungua?
 
Suala la kupunguza wafanyakazi sio issue ya kujadili,na suala la ukanda au upendeleo ni lazima liyokeee sehemu yeyote ile kwa kufikiri kwanini mm nifukuzwe aachwe fulani.
Suala la mifuko ya hifadhi ya jamii lina wasemaji wake waje walitolee kauli.
Sio mleta mada anakurupuka kuleta umbea hata chupi hajavaa..!!
 
CAG huwa hahakiki kila uliyemlipa kuwa ulimlipa sio kazi yake mfanio ulijaza mafuta hewa ya magari sio kazi yake kwenda petrol station unakodai ulijaza ahakiki kama kweli ulijaza !!!! Vinginevyo asingemaliza kazi ya auditing milele angeishia kukagua Chadema tu

Sasa ndio itaeleweka vizuri kwenye hili zoezi la kupunguzana kama Chadema walikuwa hawapeleki Hela za NSSF sababu ni mtu real anaondoka chake anakitaka hapo hakuna porojo za sijui CAG kilienda kikarudi nooooo Mtu anasema pesa yangu NSSF haipo!!!

Hiyo my appload siasa sasa hivi kila kitu automated mchango ukitua unakuwa updated hapohapo system yao sio manual!!!
Acha kupotosha TAKUKURU ilikagua kila kitu kuanzia procurement mpaka compliance kwa mamlaka husika.

Ssa kama hao hawakuona ubadhirifu ww usiye hata na certificate ya auditing ndio tukuamini?

NB: umepotosha kwamba CAG anaangalia documents tu...... Mbona 2016/17 aligundua kwamba gari lililoagizwa kwa credentials za CHADEMA lilikua la mtu binafsi yaani Mbunge.

Ssa kma alikagua tu makaratasi alijuaje hilo?

Unajua maana ya forensic auditing? Huwa inaruka vihunzi vya makaratasi bali imafuata mnyororo mzima wa thamani
 
Back
Top Bottom