Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAG huwa hahakiki kila uliyemlipa kuwa ulimlipa sio kazi yake mfanio ulijaza mafuta hewa ya magari sio kazi yake kwenda petrol station unakodai ulijaza ahakiki kama kweli ulijaza !!!! Vinginevyo asingemaliza kazi ya auditing milele angeishia kukagua CHADEMA tuSasa kama michango haionekani NSSF una uhakika kwamba NSSF washaupload kwenye database yao? Kama Chadema wangekuwa hawapeleki NSSF kwa ukaguzi anofanya CAG wangekuwa washapigwa hati chafu pia mgazeti ya kina tetere mchange na mwenzake ngumbaru musiba wangekuwa washapublish tu zamani.
Umeandika nini sass mkuu yaani uelewekiCAG huwa hahakiki kila ulimlipa kuwa ulimlipa sio kazi yake mfanio ulijaza nafuta hewa ya magari sio kazi yake kwenda petrol station unakodai ulijaza ahakiki kama kweli ulijaza !!!! Vinginevyo asingemaliza kazi ya auditing milele angeishia kukagua Chadema tu
Sasa ndio itaeleweka vizuri kwenye hili zoezi la kupunguzana kama Chadema walikuwa hawapeleki Hela za NSSF sababu ni mtu real anaondoka chake anakitaka hapo hakuna porojo za sijui CAG kilienda kikarudi nooooo Mtu anasema pesa yangu NSSF haipo!!!
Hiyo my appload siasa sasa hivi kila kitu automated mchango ukitua unakuwa updated hapohapo system yao sio manual!!!
Sijasema kuna shida wala wafanyakazi hawajasema hawataki walacholalamika ni zoezi kuendeshwa kiupendeleo wa kikabila na kikanda na suala la watakacholipwa kama mafao na swala la michango yao kupelekwa NSSF
Nawashangaa nyie mnao argue na mtu kama YEHODAYA, huyu ni wa kiwango cha chini mno, mno.CAG hakukagua compliance ya chama ? Vp TAKUKURU waliofanya forensic Auditing kuanzia usajili wa chama mpaka minutes za vikao na rekodi zote za malipo!! Hawakuliona hili
Basi Mbowe ana akili kuliko majasusi waliojazana TAKUKURU???
Natumai wajinga wa Lumumba wamekusoma na kukuelewa, kama CHADEMA iliweza ku-survive kwa ruzuku ndogo miaka ya nyuma kwa nini kife leo kwa sababu ya ruzuku kupungua?Hakuna kipindi CHADEMA ililaumiwa kama 2005-10 kwamba makao makuu ilipendelewa sana hadi mikoani kukasahaulika.
Mbowe alichofanya ni kukipeleka chama kwenye level ya kanda na hata bajeti imeongezwa huko so makao makuu kukitokea retrenchment haina madhara sababu nguvu yote ilipelekwa ngazi ya kanda ndio maana unaona hta kanda zina uwezo wa kujenga ofisi zao na kuendesha harakati bila kusubiri ufipa.
Then CHADEMA haitegemei ruzuku tu kujiendesha otherwise isingekua na uwezo wa kufanya operesheni za kichama karibu kila wiki miaka ya 2007 ambapo Ruzuku ilikua chini ya 60 Million kwa Mwezi!!!
Acha kupotosha TAKUKURU ilikagua kila kitu kuanzia procurement mpaka compliance kwa mamlaka husika.CAG huwa hahakiki kila uliyemlipa kuwa ulimlipa sio kazi yake mfanio ulijaza mafuta hewa ya magari sio kazi yake kwenda petrol station unakodai ulijaza ahakiki kama kweli ulijaza !!!! Vinginevyo asingemaliza kazi ya auditing milele angeishia kukagua Chadema tu
Sasa ndio itaeleweka vizuri kwenye hili zoezi la kupunguzana kama Chadema walikuwa hawapeleki Hela za NSSF sababu ni mtu real anaondoka chake anakitaka hapo hakuna porojo za sijui CAG kilienda kikarudi nooooo Mtu anasema pesa yangu NSSF haipo!!!
Hiyo my appload siasa sasa hivi kila kitu automated mchango ukitua unakuwa updated hapohapo system yao sio manual!!!
Kwahiyo cdm ikipunguza wafanyakazi ndiyo itakuwa dawa ya corona?
Yaani umekasirika siri yenu imevuja!Huyo hajielewi maana kuchwani ni mweupe