Kutokana na support anayoipata, Andrew Chenge anaweza kuwa ni Spika ajae na hii itathibitisha CHADEMA walikuwa sahihi kumteua Lowassa kuwa mgombea wao

Bora ufanye Uganda wa kienyeji. Analysis hujui. Unaongeaga vitu bila kuonesha connection au causality.
 
Wako wanasiasa ambao ni mafisadi ila hawajatuhumiwa hata CHEMBE.....

Mh.Chenge ametuhumiwa bila ya USHAHIDI kuwekwa mezani....kwa hiyo anabaki kuwa ni mhanga tu wa "allegations"......

Uwezo wake kiuongozi Wala hauna Shaka......
Akili zake nyingi wala hazitupi Shaka......

Binafsi ninatamani kumuona Dr.Tulia akiwa SPIKA wetu.....

#Twende Na Spika Tulia
#Siempre JMT🙏
 
Wanaogombea uspika ni wanachama wa CCM, ajabu wanaozodolewa kila siku dhiki ya nafasi ya uspikani wanachama wa CHADEMA, hivi chadema imewafanya nini CCM?
 
Mbona akina riz one makamba wanatuhuma nyingi lakini wapo cabinet na hakuna mtu anahoji,
Hii nchi wenye tuhuma ndo wanapeta, umasikini umetuathiri sana
 
Usimuite Rais b urojo,angekuwa urojo mungepindua matakwa yake kwenye nafsi ya Spika.

Hakuna wa kwenda kinyume na matakwa ya Rais,kila mtu anafanya Kazi na yule amtakaye,kama mnamtaka mwingine muiteni chumbani kwenu.
 
Mbona akina riz one makamba wanatuhuma nyingi lakini wapo cabinet na hakuna mtu anahoji,
Hii nchi wenye tuhuma ndo wanapeta, umasikini umetuathiri sana
Tuhuma zingine huwa ni mchongo wa kijinga,hai make sense eti kila mali Tzn utasikia ya Riz 1,,huu kama sio ujinga ni nini
 
Hilo usemalo ni kweli kabisa ila Mama akiona wote wanamfaa na akaacha wachuane, nakwambia Chenge ndio atakuwa Spika wa kumrithi Ndugai.
Ccm inapeleka jina moja tu bungeni kwenda kupigiwa kura, na jina hilo ni matakwa ya mama, kama anamtaka Chenge basi Chenge ndio spika mpya na kama anamtaka mwingine ndiye huyohuyo jina lake litapelekwa bungeni kwa ajili ya rubber stamp tu.
 
Na Mama yako mzazi nae aitwe bibi nani hebu kuwa na adabu japo katiti.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sasa Halima na wenzie watapiga kura ya ndiyo?maana Halima alishawahi kusema kuwa"kwenye kila dili kubwa nchi hii,mzee yupo"
 
Lukuvi angefaa sana lakini kwa bahati mbaya ameisha pigwa mtama na yeye kwa ujinga wake amekubali kupigwa ngwalaa
 
Nadhani Chenge wala hakuwa fisadi kihiiivyo ! Comparing to others of that time ! Ila tu alipotamka vijissenti ikawa nongwa akabebeshwa zigo zito, Chenge ni akili kubwa !!
 
Nadhani Chenge wala hakuwa fisadi kihiiivyo ! Comparing to others of that time ! Ila tu alipotamka vijissenti ikawa nongwa akabebeshwa zigo zito, Chenge ni akili kubwa !!
Halafu kingine ni hiki , pamoja na kwamba hakuna mwanaccm mwema lakini ni bora mwizi Chenge kuliko hili kundi la wauaji na watekaji waliokuja na Jiwe , hawa hawatakiwi kabisa .
 
Ndani ya CCM hakuna msafi, Chenge ana misimamo hata akiwa Mwenyekiti wa bunge tuliona lakini siyo ile takataka sijui Tulia ni aibu kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…