Kutokana na utabiri wa TMA kuhusu uhaba wa mvua; je, bwawa la Mwalimu Nyerere litajaa na kuanza kuzalisha umeme mwakani?

Is it the same as putting all the eggs in the same basket?

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Huo ndio ukweli mkuu!!leo tu nimewasikia viongozi wa hifadhi ya mwalimu Nyerere, wanaanza kulaumu wakazi wanaokaa pembezoni mwake kuwa kwa uharibifu huu wa mazingira unaofanyika cjui, ni hatari kwa maji ya kutosha kufika kwenye bwawa!!ni suala la muda tu, huko mbeleni tutarudi tu kuambiwa kuwa MABADILIKO YA TABIA YA NCHI!!utadhania hili neno ndio limeanza leo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…