Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Siku ya leo, nikajikuta bora nimsalimie mrembo wangu mwenye ujauzito aliyepo mkoani.
Baada ya kuchat kwa muda, ikaonekana inabidi tuonane ili kukipa lishe kile kiumbe; ingawa uchumi hauko vizuri, ila kutokana na ushawishi pamoja na uzuri wake, nimejikuta nakubali mualiko.
Nilipomuuliza kuhusu 'venue', akanitajia hotel yenye gharama kuliko mfuko wangu; hapa nilipo najaribu kutafakari, niende ama nisiende.
Nikiangalia mshepu n.k, najikuta moyo unasema niende tu.
Wakuu, mtoto kama huyu, ungeweza kupangua hoja ya kutokwenda kuonana naye?