Kutokana na video hizi mbili unaweza kubashiri mstakabali wa sera za multiculturalism ambayo nchi za magharibi ziliupigia upatu na kukaribisha wageni?

Your browser is not able to display this video.
 
Tangia lini Nchi za Ulaya zilikaribisha wageni?

Itoshe, leo hii Ulaya nzima imeshikiliwa na Siasa, Sera, na itikadi za mrengo wa kulia. Ufashisti.

Waunga mkono wa itikadi hiyo hawawataki wageni katika nchi zao na sasa wanatafuta madampo Africa, mfano watafuta Ukimbizi Ulaya kuswagwa kama ng'ombe na kupelekwa Rwanda.
 
Wakifanikiwa kwenye zoezi hilo la, Rwanda basi Eastern Congo lazima ichukuliwe na Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…