Embu tupe ShairiNapendekeza ili kuvunja mzizi wa fitina video kama hiki wawe wanatumiwa baba zao wazazi,mama zao na kaka zao,sidhani watapiga tena ujinga kama huo.
Hahah yuko anakagau mali ya bi.mkubwa wake mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dogo kashika mkuyenge wa dingi au sio ?
Duh aiseeeeUyu msani toka kitambo sijawa kumuelewa mi namwona malaya tuuh na soon video zake za faraga zitakua on air ...hana kitu kichwani anajua kubegejua domo tuuh kwa kulipindisha juu Kama beberu lililolamba mkojo wa jike aliyoko heat period
Hiyo adhabu ni kali sana miezi sita ni muda mrefu sana
mziki wa Tz ni mgumu basata wakija kwetu kenya basi watafungia karibia kila nyimbo ju uku ni worst wanaimba ngono bila kuficha sema tu ni vile wanatumia sheng sanaSure. Akirudi kapotea.
Hapa kati anaweza ibuka msanii mwingine wa kike aka rap akamfunika tukamsahau.
Ipo mbona mi nimeiwahiHii video msihangaike kuitafuta youtube imeshafutwa labda mjaribu kule xvideos
Anaonekana bado hayajui mapenzi atakuja kulianzisha varangati kama Ebitokehuyu jamaa timmy tdat ni bashaake na km akiendelea kuendekeza mapenzi kuliko kazi atapotea kwny game...ushauri wangu kwake ajitahid kutengeneza mziki mzuri na aachane na mambo ya kutengeneza "controversial videos" zinamshusha kimuziki kuliko kumpandisha
...na hata hii video yao ya asante baba ni uchafu mtupu huyu jamaa wa nai anampoteza sn huyu manzi!
Ningetunga ila wangesema natafuta kiki.Embu tupe Shairi