Pre GE2025 Kutokana na Vita vya Gaza: Uchaguzi utakuwa mgumu kwa wapinzani 2025, CHADEMA ijpange

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Tumezoea mataifa makubwa kama MAREKANI inapokaribia uchaguzi wakati wa Uchaguzi kuingilia kati na kutoa statement mbali mbali na kwa kiasi inasaidia watawala kupunguza kasi dhidi ya upinzani.

lakini kutokana na ukandamizaji wanafunzi huko amerika na Polisi kutumia nguvu nyingi kinyume ca demokrasia amerika imejikuta ikicafuka katika mataifa mengi ambayo huko nyuma yakipata maagizo mbali mbali ya kuimarisha demokrasia.


Uchaguzi Tanzania 2020: Marekani yaonya viongozi kuhusu uchaguzi wa Tanzania​


 
Miaka yote hao magaidi ya mashariki ya kati yanapigana na chaguzi zetu zipo vile vile
 
Miaka yote hao magaidi ya mashariki ya kati yanapigana na chaguzi zetu zipo vile vile
hata Rwanda na Sudan ya Kusini wamechinjana vya kutosha lkn afrika bado ipo. hio sio hoja. Hoja hapa Amerika kukemea vitu ambavyo yeye anavifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…