... Imani inaweza'hamisha milima!Yaani sanamu mchonge wenyewe halafu liwatokee
Makubwa!Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa kuhimili kuendelea na maisha yao ya kawaida.
View attachment 3666529
View attachment 3666530
View attachment 3666534
Angegeuka Babu wa Loliondo ghafla.Huyo mwenye nyumba angekuwa na akili za uwekezaji saa hii angekuwa ameoga billions of money