The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hata sasa hivi akiamua kuwauzia huo udongo wa hiyo Nyumba aliyo ibomoa,watanunua tu.Huyo mwenye nyumba angekuwa na akili za uwekezaji saa hii angekuwa ameoga billions of money

Tena kalitakiwa kaweke na uzio kabisa!Sio kila mtu anaweza kuwa Mwamposa.