Kuku ukimnunua tunamweka miguu yake juu ya jiko iliakiungua asiwe na uwezo wa kwenda mbali. Kuna kiongozi moja alipelekwa hapo ili akija kuwa Raisi asiwe kama kuku mwenda mbali . Mwisho wa kunukuu.Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete
Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni
Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza?
Mungu wa mbinguni awabariki sana!