Kutokuaminiana katika mahusiano

Kutokuaminiana katika mahusiano

Ndiyo kijana anatatizo Kwa bandiko hili na hata comments zake basi unaweza ukaelewa kuwa ni mtu wa aina gani.

Any way, mahusiano ni zaidi ya bustani inayohitaji maangalizo ya Karibu na kila siku.

Tatizo langu nini sasa mkuu?[emoji25][emoji25]
 
Ngoja nikwambie kitu mkuu..kwenye hayo maswali ya umekula na nini kama kwa siku nzima yamekuja bila wazo la kimaendeleo trust huyo mwanaume au mwanamke anamshauri wake pembeni.sasa kwanini wewe mpenzi usiwe mshauri wake??
yes uko sahihi
na Mapenzi yakiwa hayana maendeleo ni kupoteza muda
 
Yani wewe unioe mimi kabisaaaa.no thank u
Yani badala utumie utumie njia ya kistaarabu ya kujenga mahusiano yako eti umepigia kimya dada wa watu!!!ulimpenda kweli!!ninamashaka.

Jamaa unashida pia,unashindwa nini kukaa chini na mpenzi wako umwambie hiki na hiki sikipendi naomba ubadilike mkaridhiana??
hahahaha
huyi nlisha kwambia hamtaki huyo mtoto so aatafuta namna tuseme amwache tu
 
Hi wana JF natumaini mko wazima wa afya kabsa.
Mimi ni member wa siku nyingi sana huku JF na nimekuwa wa kujifunza mambo mengi tu kupitia humu ila leo nimeamua kuja na hili swala la kutokuaminiana katika mahusiano.

Mpenzi wangu kusema ukweli haniamini kabsa nisipopokea simu analeta maneno kibao, kiasi kwamba mpaka ananikosesha amani, kwa sasa nimeamua tusiwasiliane kwa wiki 2 na leo ni siku ya tatu hatuwasiliani.

Nahitaji mawazo yenu wana jf kama maamuzi yangu yako sahihi au nitakuwa nimekosea kufanya hayo maamuzi??

Tukumbuke huu msemo KAMA AMESHIDWA KUKUAMINI VILE VILE HAWEZI KUKUPENDA
Pole
 
Back
Top Bottom