Kutokujiamini kwa Mrisho Mpoto

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
Mrisho Mpoto,sijui kwanini huwa hajiamini ktk Muziki.

Kila wimbo anaoimba lazima afanye Featuring na msanii mwenzake ili abebwe ktk kiitikio(chorus) bila ya hivyo jamaa angekua bado ni msanii chipukizi(underground).

Kama anajiamini awe anasimamia wimbo yeye mwenyewe la sivyo aendelee
KUMWAGA RADHI.
 
Nadhan ni kawaida na ndo staili yake hivyo usimpangie!. Kwa sisi wahenga kuna mmarekani mmoja kwa jina Jah Rule alikuwa haimbi mpaka afanye featuring na msanii mwingine!
 
Simpangii ila nakosoa kwania ya kumpatia changamoto.
 
Yeye sio mwimbaji, ni mwanamashairi
 
Nadhan ni kawaida na ndo staili yake hivyo usimpangie!. Kwa sisi wahenga kuna mmarekani mmoja kwa jina Jah Rule alikuwa haimbi mpaka afanye featuring na msanii mwingine!
Sio kweli, ule Holla Holla alifanya featuring na nani?
 
Murder Inc,wapi Irv Gotti Ashanti
Nadhan ni kawaida na ndo staili yake hivyo usimpangie!. Kwa sisi wahenga kuna mmarekani mmoja kwa jina Jah Rule alikuwa haimbi mpaka afanye featuring na msanii mwingine!
 
Sio kweli, ule Holla Holla alifanya featuring na nani?
Weee nawe,kwan Mrisho nyimbo zake kashirikisha? Kuna nyingine kaimba peke yake hapa tunamaanisha nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…