Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Tazama hiyo Video utajua kuwa Ile Harusi ni wimbo wa kisiasa, katika hiyo video utamuona kuna mtu amevaa Shati la CCM Ndiyo utaelewaKaacha kuimba siasa kwa sasa amehamia kwenye Ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tazama hiyo Video utajua kuwa Ile Harusi ni wimbo wa kisiasa, katika hiyo video utamuona kuna mtu amevaa Shati la CCM Ndiyo utaelewaKaacha kuimba siasa kwa sasa amehamia kwenye Ndoa.
Si kila nyimbo Jah rule alifanya hivyo, albam yake ya venn veti vessi nyimbo nyingi tu aliimba peke yake....muziki wake unapoishia ndo aliamua kuimba na wengineNadhan ni kawaida na ndo staili yake hivyo usimpangie!. Kwa sisi wahenga kuna mmarekani mmoja kwa jina Jah Rule alikuwa haimbi mpaka afanye featuring na msanii mwingine!
Anaghani mashairiHivi Nyimbo zake huwa anaimba au anaongea? Lazima aweke mwimbaji sababu yeye anaongea ngonjera
Acha kukariri.Tazama hiyo Video utajua kuwa Ile Harusi ni wimbo wa kisiasa, katika hiyo video utamuona kuna mtu amevaa Shati la CCM Ndiyo utaelewa