Kutokujiamini kwa Mrisho Mpoto

Nadhan ni kawaida na ndo staili yake hivyo usimpangie!. Kwa sisi wahenga kuna mmarekani mmoja kwa jina Jah Rule alikuwa haimbi mpaka afanye featuring na msanii mwingine!
Si kila nyimbo Jah rule alifanya hivyo, albam yake ya venn veti vessi nyimbo nyingi tu aliimba peke yake....muziki wake unapoishia ndo aliamua kuimba na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…