Elections 2010 Kutokujiamini kwa watanzania

Elections 2010 Kutokujiamini kwa watanzania

makumbojr

New Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Nimesikitishwa sana na baadhi ya watanzania wenzangu haswa wa vijijini, yani wanafanya uchaguzi kama mechi ya simba na yanga, hatukomoani hapa, tunasimama juu ya haki kwa kila mtanzania na si sisi wa mjini tuu i.e afya bora, miundo mbinu mizuri, elimu bora kwa wote.ccm sio wazazi wetu na katu hatupati laana kwa kutowachagua.tubadilike watanzania wenzangu.
 
Naona umesahau msemo usemao Ujinga wa watanzania ndo mtaji wa CCM
 
that is the perfect comment, ccm si wazazi wetu so haki kwanza ndio twahitaji
 
Na CCm ndio inatumia weakness hii ya watanzania kujinyakulia ushindi.
 
Halafu hawa wa vijijini wakikuona uko mjini wanadhani una pesa nyingi, wanapiga mizinga. Tubadilike jamani.
 
tusikatishwe tamaa na ndugu zetu wa vijijini tuwaeliimishe kwaajili ya 2015 mabadiliko yanawezekana.........
 
Back
Top Bottom