Kutokujua kingereza mi bonge la soooooo

Cnkwabi

Member
Joined
Sep 9, 2012
Posts
97
Reaction score
22
jamaa fulani alikuwa ametulia beach,mzungu akapita akamuuliza"are you relaxing?jamaa akawa
hajamuelewa akajibu no,mzungu mwingine akapita akamuiliza vilevile,akaona hapa nasumbuliwa akasogea
mbele kidogo ya maji akmuona mzungu mmoja alikuwa ametulia akamuuliza "are you relaxing?mzungu akajibu yeeees,jamaa akamkata mzungu bonge la kofi na kumwambia kumbe wewe ndo relaxing LIONE KWANZA hebu inuka unatafutwa na wenzako,shenzi mi na sumbuliwa na wenzako kule we unaona raha tu
kuchezea maji........!
 
Huyo tatizo lake ni zaidi ya kutokujua Kiingereza. Labda alipitiliza kulipuliza pia.
 

Mimi nilitarajia yafuatayo: Alipoulizwa mara ya mwanzo "Are you relaxing?" Angejibu: "I am not Relak
Singh, but Dinesh Kumar"
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ hahahaahahhahhahah
 
Anafahamu kiinglish,tatizo msamiati ni mchache kwake,.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…