Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jun 8, 2021 #1 Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
Mkalimani wa taifa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 753 Reaction score 1,290 Jun 8, 2021 #2 uswahilini nyama ni utajiri
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Jun 8, 2021 Thread starter #3 Mkalimani wa taifa said: uswahilini nyama ni utajiri Click to expand... Ukiamua kuacha kula nyama wala huumizi kichwa kuwaza ni halal au nani kachinja. Haya majani hayajalishi ni nani ali yachuma.
Mkalimani wa taifa said: uswahilini nyama ni utajiri Click to expand... Ukiamua kuacha kula nyama wala huumizi kichwa kuwaza ni halal au nani kachinja. Haya majani hayajalishi ni nani ali yachuma.
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 3,978 Reaction score 9,841 Jun 9, 2021 #4 kama mtanzania wa leo ana kipato cha elfu 7 kwa siku na bei ya nyama ni elfu 8 kwa kilo, basi asipo kula nyama ni sahihi yeye kujiona maskini
kama mtanzania wa leo ana kipato cha elfu 7 kwa siku na bei ya nyama ni elfu 8 kwa kilo, basi asipo kula nyama ni sahihi yeye kujiona maskini