Kutokunywa maziwa kunafanya wakulima kuwa wafupi

Sikupata hayo maziwa ni ugali wa dona na mboga za majani but nimekwambia mimi ni super tall, giant na handsome la nguvu wewe mwenyewe ukiniona mchonyo unakuchonyota utaniomba nikupelekee moto.
Kama hukupata maziwa na tall basi maza wako alipelekewa moto na wafugaji.
 
Sayansi inasema hakuna kitu Cha hatari kama maziwa currentry.

Hii bleed ya Ng'ombe wa kisasa ni hatari kwa afya ya FIGO NA INI.

2. Hii sababu ya Urefu na ufupi ni kurithi.
Na Jamii za watu warefu zaidi yani mfano massai wanaoana wamasai kwa wamasai.

FUATILIA DOCUMENTARY
UTAOGOPA HATA KISIKIA NENO MAZIWA.
 
Kwanza hongera ndugu kwa uzi mzuri wa "kufikirisha", unachangamsha ubongo.

Ili tujadili hili swala vizuri inabidi tujikite kwenye maandiko ya kitaaluma zaidi. Hapa nadhani tunaweza kupunguza maswali na mabishano (japo mabishano ni mazuri kama ni ya msingi).

Kuna aina nyingi za tafiti, kuna zile zenye kuangalia uhusiano wa vitu (correlation) na nyingine zinaangalia visababishi vya kitu (causation). Mfano, unachokisema wewe ni ubusiano (correlation) baina ya jamii ya wafugaji na urefu. Of which kuna published studies (please do google scholar for your reference) nyingi tu zinazoonyesha kuwa kuna uhusiano kidogo sana baina ya wanywaji maziwa na urefu, lakini studies hazizungumzii nini kinasababisha (cause) hasa ya hali hiyo.

Hivyo huenda ikawa tu ni uhusiano na sababu (cause) ikawa siyo maziwa hasa. Hapa inahitajika studies za kina sana kujua cause. Maana tukisema maziwa yana calcium kwa wingi, basi mimea ndiyo ina varieties nyingi zaidi zenye calcium content, mfano almost all nuts and most vegies (do google search). Kuhusu protein pia inapatikana vizuri sana kwa mimea, mfano maharage ambayo wakulima wanakula SANA.

NATAMANI kuandika zaidi ila ngoja tuishie hapa kwa leo. Kwa ufupi umeangalia zaidi correlation ambapo kwa ujumla kuhusianisha vitu ni rahisi kuliko kusema kwanini vinahusiana.

Dongbei.
 
Umechambua kisayansi kabisa. Mahindi na Mchele hazina Calcium.
 
Umechambua kisayansi kabisa. Mahindi na Mchele hazina Calcium.
Calcium ni muhimu sana. Hata wataalamu wanasema wanyama wanastawi sana Serengeti kwa sababu ya hiyo. Wanasema volkano zinazolipukaga huko ni tofauti sana, zina calcium kwa wingi, hivyo hata nyasi zinazokuwa kule zimejaa calcium. Ndiyo sababu wanyama kama nyumbu wanastawi sana.
 
Nchi ya Viwanda hii,Hawa wakulima Mkawaangalie
 
Hongera wanyamwezi na wasukuma.
 
Oi njoo nikupelekee moto huenda ukazaa mtoto mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…