ujana wako,ulipuyanga na kuruka ruka sana,now ndiyo unakumbuka muda umeenda?Habari, Nahitaji msaada wenu.
Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.
Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lilianza ata hao wanaume nilikua siwajuuujana wako,ulipuyanga na kuruka ruka sana,now ndiyo unakumbuka muda umeenda?
hakuna tatizo lisilokuwa na chanzo.
isije kuwa ulitoa mimba au ulikuwa mtu wa viwanja sanaa.
na ya mkini ulikuwa una danga na waume za watu, wameamua kukufanyizia.
ulizaliwa na tatizo au limekukuta ukubwani???
madaktari wanasemaje?
hao kina mwamposa&C o wamekuambiajr?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna watu nilikutana nao walikuwa na ttz kama lako.
AsantePole mkuu kwa changamoto,BWANA HASIPOULINDA MJI WAULINDAO WANAKESHA BURE !!! Usikate Tamaa!!
Asante sana... Ntafanyia kazi ushauri wakoFanya hivi sistangu, mi wala sihitaji senti yako. Kachukue mdalasini uliosagwa vizuri, chukua asali ya nyuki wadogo wasiouma, lita moja kwa nusu kilo, unga wa kitunguu swaum robo kilo au chini ya hapo., kata mchanganyiko wa asali na mdalasini nusu,na nusu inayobaki changanya na unga wa swaum. Ile yenye unga wa swaum kunywa kabla ya kula asububi ukiamka tu. Na kabla ya chakula cha usiku. Hii ya mdalasini na asali unaeza ongeza mdalasini kidogo ukakorogavizuri, u akuw Kabla ya kulala chukua kijiko cha mezani weka mdomoni usimeze iache usiku kucha asubuhi tema. Fanya hivo kwa mwezi, kwa uwezo wa Mungu utaona siku zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumpoteza mwenzakoHao madaktari walijuaje kama hauna mayai? Walikupima kwa njia ipi hata wao wakajua hivyo?
Kuna maradhi yanaitwa Anemia nayo hufanya ukakosa hedhi pia. Je unazo dalili hizi?
1 Hukosa nguvu
2 Kila wakati unajisikia kulala
3 Unachoka mara kwa mara
4 Huumwa kichwa mara kwa mara
5 Pumzi hupata kwa tabu
6 Maumivu ya kifua
7 Mikono na miguu huwa na baridi sana
8 Ngozi yako hupayuka au huwa na umanjano
Acha kumpoteza mwenzakoNjia ya uzazi imeziba hiyo hushiki mimba jibu ni ku Safishwa mirija ya uzazi yaani damu imeganda imeziba Njia ya Hedhi
Primary ovarian insufficiency, pole Sana dada.Habari, Nahitaji msaada wenu.
Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.
Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie [emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app