Kutokupata hedhi kwa miaka mingi

Kutokupata hedhi kwa miaka mingi

Utazaa Tu Suala La Muda Tu
Kuna Mtu Ana Miaka 36 Hana Mtoto
Sembuse 27 Hata Kama Una Tatizo Litakwisha
 
Habari, Nahitaji msaada wenu.

Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.

Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie [emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
ujana wako,ulipuyanga na kuruka ruka sana,now ndiyo unakumbuka muda umeenda?

hakuna tatizo lisilokuwa na chanzo.
isije kuwa ulitoa mimba au ulikuwa mtu wa viwanja sanaa.
na ya mkini ulikuwa una danga na waume za watu, wameamua kukufanyizia.

ulizaliwa na tatizo au limekukuta ukubwani???
madaktari wanasemaje?

hao kina mwamposa&C o wamekuambiajr?

Tatizo lilianza ata hao wanaume nilikua siwajuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Onana na madaktari kwa ushauri zaidi,lakini mshirikishe Mungu pia yeye ni tabibu wa kweli,.kuna mambo mengine kwa kutumia akili zetu wenyewe inafika mahali tunashindwa kuendelea mbele,.funga na kuomba pia kwa Imani Mungu atakuponya.
 
Pole mkuu kwa changamoto,BWANA HASIPOULINDA MJI WAULINDAO WANAKESHA BURE !!! Usikate Tamaa!!
 
Fanya hivi sistangu, mi wala sihitaji senti yako. Kachukue mdalasini uliosagwa vizuri, chukua asali ya nyuki wadogo wasiouma, lita moja kwa nusu kilo, unga wa kitunguu swaum robo kilo au chini ya hapo., kata mchanganyiko wa asali na mdalasini nusu,na nusu inayobaki changanya na unga wa swaum. Ile yenye unga wa swaum kunywa kabla ya kula asububi ukiamka tu. Na kabla ya chakula cha usiku. Hii ya mdalasini na asali unaeza ongeza mdalasini kidogo ukakorogavizuri, u akuw Kabla ya kulala chukua kijiko cha mezani weka mdomoni usimeze iache usiku kucha asubuhi tema. Fanya hivo kwa mwezi, kwa uwezo wa Mungu utaona siku zako.

Asante sana... Ntafanyia kazi ushauri wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana dada, usikate tamaa, ipo siku Mungu atakubariki kwa namna impendazavyo yeye.
 
Hao madaktari walijuaje kama hauna mayai? Walikupima kwa njia ipi hata wao wakajua hivyo?
Kuna maradhi yanaitwa Anemia nayo hufanya ukakosa hedhi pia. Je unazo dalili hizi?
1 Hukosa nguvu
2 Kila wakati unajisikia kulala
3 Unachoka mara kwa mara
4 Huumwa kichwa mara kwa mara
5 Pumzi hupata kwa tabu
6 Maumivu ya kifua
7 Mikono na miguu huwa na baridi sana
8 Ngozi yako hupayuka au huwa na umanjano
Acha kumpoteza mwenzako
 
Habari, Nahitaji msaada wenu.

Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.

Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie [emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Primary ovarian insufficiency, pole Sana dada.

https://m.acog.org/Clinical-Guidanc...-Insufficiency-in-Adolescents-and-Young-Women
 
Back
Top Bottom