Wakuu habari,
Hivi hii hali ya baadhi ya siku unakuta kuanzia asubuhi hadi jioni hupati wateja kwenye biashara yako badala yake wanakuja wanaoulizia ulizia tu na kuondoka
π
Hivi hii hali huwa inawakuta na ninyi?
Vipi mnakabiliana vipi na stress za hiyo siku?