Kutokusajili katiba ndipo umetumika kama sehemu ya kuivuruga Yanga

Kutokusajili katiba ndipo umetumika kama sehemu ya kuivuruga Yanga

Process ilienda vizuri tu kwanzia kuomba ushauri kwa wahispania hadi kwenye kuandaa katiba mpya iliyoendana na mfumo mpya wa mabadiliko, hii katiba ilipitishwa na wanachama wote wa klabu ya Yanga siku ya mkutano mkuu na pia serikali iliipitisha hiyo katiba sasa sijui ni nini kilitokea hadi isisajiliwe RITA wakati kila kitu kilikuwa sawa? Hapa ndipo kwenye udhaifu na ndipo kwenye hoja za akina Magoma maana inaonekana hadi sasa katiba inayopaswa kutumika ni ya mwaka 2010.

Kingine naona pia kuna wazee waliopo kwenye hizi timu za kariakoo wana mawazo ya kuendeleza hizi timu kwenye umaskini wa kutembeza bakuli. Alikuwa Kilomoni na kundi lake kasumbua sana mchakato wa Simba ilihali hao wazee wakiachiwa timu hakuna maendeleo yeyote yale. Leo hii Simba na Yanga zitaonekana tishio Africa na wanakuwa na muendelezo mzuri mashindano ya kimataifa kutokana na uwepo wa hawa wadhamini ila wao ni kukazanai kukwamisha hawa wadhamini na wawekezaji ili mradi tu vipate ulaji kwenye hizi timu.
Vizee nuksi kama hivi huku kwetu Usukumani tunapiga shoka tu.
 
Sisi Simba tunajua mo anatumia ubabe wa pesa na tumeridhia hilo. Tatizo la utopolo kwa akili zao wengi wanafikiri hersi/gsm yupo pale kikatiba kumbe ni ubabe. Yani utopolo ni kama nyani anayecheka kundu la nyani mwenzie akifikiri yeye hana kundu kama lile😅
Waooooh !!!
 
Sisi Simba tunajua mo anatumia ubabe wa pesa na tumeridhia hilo. Tatizo la utopolo kwa akili zao wengi wanafikiri hersi/gsm yupo pale kikatiba kumbe ni ubabe. Yani utopolo ni kama nyani anayecheka kundu la nyani mwenzie akifikiri yeye hana kundu kama lile[emoji28]
Bahati nzuri swala limewekwa clear kuwa katiba ya Yanga haipaswi kupitia RITA bali ni baraza la michezo Tanzania, TFF na FCC na hiyo katiba ya mwaka 2021 ilipitia huko kote na ikapitishwa. Hersi bado yupo sana, hivyo makombe na vipigo vikubwa kwa Simba bado vinawahusu. Msitegemee mdebwedo wa kushindana na Yanga ikiwa dhaifu kiuchumi na migogoro ndio muishinde.
 
Kwahiyo kwa ufahamu wako hersi ndio ameleta vipigo na ubingwa? Before hersi Yanga haijawahi kuchukua ubingwa mfululizo huku ikimfunga Simba? Ndio alivowashika akili?
 
Issue napata imani imetengenezwa na Young Africans yenyewe
 
Back
Top Bottom