Kutokusajili katiba ndipo umetumika kama sehemu ya kuivuruga Yanga

Vizee nuksi kama hivi huku kwetu Usukumani tunapiga shoka tu.
 
Waooooh !!!
 
Bahati nzuri swala limewekwa clear kuwa katiba ya Yanga haipaswi kupitia RITA bali ni baraza la michezo Tanzania, TFF na FCC na hiyo katiba ya mwaka 2021 ilipitia huko kote na ikapitishwa. Hersi bado yupo sana, hivyo makombe na vipigo vikubwa kwa Simba bado vinawahusu. Msitegemee mdebwedo wa kushindana na Yanga ikiwa dhaifu kiuchumi na migogoro ndio muishinde.
 
Kwahiyo kwa ufahamu wako hersi ndio ameleta vipigo na ubingwa? Before hersi Yanga haijawahi kuchukua ubingwa mfululizo huku ikimfunga Simba? Ndio alivowashika akili?
 
Issue napata imani imetengenezwa na Young Africans yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…