Hyo hali ninayo toka chuo mkuu,na nimepima ukimwi mara nyingi and it's negative mkuu.Kapime HIV Mkuu...
Kama Uzi wako unavyo jielezea, huku mtaani kwetu vijana wana msemo kuwa...Mgonjwa wa Ukimwi hatoki JASHO, hata umpe mazoezi yapi....!!
Kauli hii huwa naipuuza, japo nimewahi kufanya utafiti na kubaini ukweli huo kwa asilimia kadhaa....!!
Tutaomba mrejesho tafadhali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ni muhimu sana,jitahidi unywe dailyI think hilo ndo tatizo,huwa sinywagi maji kabisa yani...shukrani mkuu,ngoja nijiwekee ratiba ya kunywa maji.
Lita mbili zinaishia tu kwenye haja ndogo kunywa sita Ila angalizo usinywe maji ya baridi kunywa vuguvugu.Shukrani mkuu,nimeanza kwa siku nazunguka na lita mbili za chupa ya maji
Shukrani mkuuJaribu kunywa maji kwa wingi zaidi ya Lita NNE kwa siku inaonesha hunywi maji mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu,ndo nimeanzaLita mbili zinaishia tu kwenye haja ndogo kunywa sita Ila angalizo usinywe maji ya baridi kunywa vuguvugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuuTabia ya kutokunywa maji ni kujitakia matatizobkama vile figo kufanya kazi ngumu kuweza kuondoa kiasi cha sumu mwili na inakuwa ktk hatari ya kuweza kushindwa kufanya kazi.kunywa maji mengi ni faida kwa mwili wako hata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara utaepukana nayo pia.
Hunywi maji na unakojoa kila siku unakuta mkojo wa njano au unaenda kahawia unakuwa unaiumiza figo yako.
Kunywa maji ya kutosha fanya zoezi hata ngozi yako itanawiri na siyo kukunjamana ..
Kunywa maji safi na salama kwa afya ya figo yako na mwili kwa ujumla..
Sent using Jamii Forums mobile app