Kutokutoka jasho

Kutokutoka jasho

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
7,152
Reaction score
9,206
Wakuu habari zenu,

Kama kichwa cha habari kilivyojieleza,yani huwa sitoki jasho kabisa wakuu,mfano naweza nikawa na tembea au kufanya chochote cha kutoka jasho na watu,wenzangu wote utakuta wanachuruzika jasho,ila mimi mkavu kama sijafanya lolote.

Shida itakuwa nini hapa wakuu?
 
Huu uzi haonekani? ?
 
Kapime HIV Mkuu...
Kama Uzi wako unavyo jielezea, huku mtaani kwetu vijana wana msemo kuwa...Mgonjwa wa Ukimwi hatoki JASHO, hata umpe mazoezi yapi....!!

Kauli hii huwa naipuuza, japo nimewahi kufanya utafiti na kubaini ukweli huo kwa asilimia kadhaa....!!

Tutaomba mrejesho tafadhali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo hali ninayo toka chuo mkuu,na nimepima ukimwi mara nyingi and it's negative mkuu.
 
Mkuu mimi sio mtaalam ni wazo tuu,Labda kiasi cha maji mwilini in kidogo,jaribu kunywa maji mengi kila siku.
 
I think hilo ndo tatizo,huwa sinywagi maji kabisa yani...shukrani mkuu,ngoja nijiwekee ratiba ya kunywa maji.
 
Tabia ya kutokunywa maji ni kujitakia matatizobkama vile figo kufanya kazi ngumu kuweza kuondoa kiasi cha sumu mwili na inakuwa ktk hatari ya kuweza kushindwa kufanya kazi.kunywa maji mengi ni faida kwa mwili wako hata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara utaepukana nayo pia.
Hunywi maji na unakojoa kila siku unakuta mkojo wa njano au unaenda kahawia unakuwa unaiumiza figo yako.
Kunywa maji ya kutosha fanya zoezi hata ngozi yako itanawiri na siyo kukunjamana ..
Kunywa maji safi na salama kwa afya ya figo yako na mwili kwa ujumla..

Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom