Kutokuvaa soksi siyo uhuni!

Hazina mashiko, Unaweza Vaa Kanzu bado ukaonekana Mwanaume, Unaweza Vaa Kaptula bado ukastili Uchi wako.

Kwanini unavaa suruali?

Nijaalie umri wako, Una Elimu gani kwanza maana ubushi wa kipumbavu kweli.
Wewe sidhani kama una akili timamu!

Hebu niambie wewe kwanini unavaa suruali,labda kwakuwa wewe una akili timamu utaeleweka!
 
Hazina mashiko, Unaweza Vaa Kanzu bado ukaonekana Mwanaume, Unaweza Vaa Kaptula bado ukastili Uchi wako.

Kwanini unavaa suruali?

Nijaalie umri wako, Una Elimu gani kwanza maana ubushi wa kipumbavu kweli.
Umri wangu ni miaka 33

ELIMU yangu ni Bachelor of Mathematics
 
Soksi sokisi au soksi ndomu! Huenda umeshindwa kufungua code za wambulu
 
Vikaunda suti vifupi bila soksi siyo official dressing code.

Msipoteze muda kujadili na mtu ambaye ana majibu yake tayari.

Nikuulize tu mleta mada; Je, kwanini watu uliwasikia wakisemezana ya kuwa umevaa isivyo yaani kihuni?

Kila dressing code Ina mahala pake, hata Jakaya kipindi akiwa rais alikuwa akivaa jeans na raba akiwa off ( yaani hayuko kikazi) lakini ukiingia kwenye office ya umma lazima ufuate code za mavazi zilizo na heshima.

Umedai umejiajiri na haupelekeshwi na mambo ya mavazi na hapo hapo unasema wewe ni kiongozi, mbona hueleweki?

Usidhani hao watu ( umma ) walionung'unika na mavazi Yako ni wajinga Bali wewe pia jitathimini. Soksi ni moja ya kiambata muhimu Cha dressing style.

Mimi nikienda baa ninapiga jeans na t-shirt na raba ila mahala pengine hapana.

Kila vazi Lina sehemu yake,
 
Imagine kiongozi mwenye cheo hujavaa soksi na unadunda kama kitenesi 🚮
Samia ni Rais na sijawahi kuona amevaa Soksi!

Tatizo Watanzania wengi ukiwemo wewe ni wajinga!,Kwamba kuvaa soksi ndiyo unaonekana kiongozi!

Nimeuliza swali hapa lakini mnakaa mnabwabwaja tu bila majibu!

Swali

Kuvaa Soksi Kuna uhusiano gani na utendaji ofisini?
 
Samia anavaa suti kila siku lakini chini havai soksi,Je,Yuko sahihi au hayuko sahihi?
 
Yeah kama ulienda hivyo ofisini basi we siyo muhuni ila ni mshamba maana hujajua kuvaa kulingana na mazingira
 
Umekazana na soxxxyy si soxxyy!

Mbona huongelei binamu wa soxy, chupi?

Kama unapiga vita kuvaa soxy ina maana hata chupi huvai wewe!

Unavaa suti bila chupi na bila soxy halafu unapotembea kende zinaruka ruka😁🤣🤣

Bado najihoji kwa mtu mzima kuja na kioja kama hiki jamvini ni kuwa unatutaniaa au upo serious!
 
Mwanaume yeyote anayevaa chupi Hana akili timamu!

Chupi zilitengenezwa mahususi Kwa mwanamke wakati wa kuvaa pedi iwe rahisi chupi hizo kushikilia pedi hizo!

Sasa mwanaume unavaaje chupi?
 
ayo yote tisa habari gani mm ambaye huwa navaa suti na yeboyebo??......NB...niko hapa kwa FaizaFoxy namalizia kula chipsi maharage
 
Wacha uongo, Vaa soksi epuka ukimwi
 
Kwa mimi mtu anaevaa suti na viatu bila soksi naona hawi smart. Mbali na kuwa smart pia soksi zinasaidia kunyonya unyevu unyevu miguuni kuzuia harufu mbaya.

Soksi muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…