Kutokuvaa soksi siyo uhuni!

Kutokuvaa soksi siyo uhuni!

Umri wangu ni miaka 33

ELIMU yangu ni Bachelor of Mathematics
Wewe ni wale mlioenda chuo kuchukua Bachelor siyo kusomea Fani, Hata uchaguz wako wa Course unathibitisha usivyotumia akili kwenye maamuzi yako.
 
Wewe sidhani kama una akili timamu!

Hebu niambie wewe kwanini unavaa suruali,labda kwakuwa wewe una akili timamu utaeleweka!
Endelea kutembea uchi wa mnyama maana una uchi wa akili, nimeambiwa bila shaka hata Chupi huvai maana huoni sababu yacwewe kufanya hivyo.
 
Endelea kutembea uchi wa mnyama maana una uchi wa akili, nimeambiwa bila shaka hata Chupi huvai maana huoni sababu yacwewe kufanya hivyo.
Ukiona mwanaume unavaa chupi utakuwa na matatizo ya kiakili!

Bila shaka na wewe una tatizo la afya ya akili!
 
Ukiona mwanaume unavaa chupi utakuwa na matatizo ya kiakili!

Bila shaka na wewe una tatizo la afya ya akili!
Nilijua wewe ni Mwanamke mwenzao kwa maana wao pia hawavai socks wala mkanda na Maadili yanawalinda katika hayo tena ndio watu wa kutafuta attention kama wewe.
 
Kumbe hata faida ya soksi mguuni huijui ndio maana hutaki kuvaa.
 
Nilijua wewe ni Mwanamke mwenzao kwa maana wao pia hawavai socks wala mkanda na Maadili yanawalinda katika hayo tena ndio watu wa kutafuta attention kama wewe.
Kujiita HOPELESS Wala hukukosea!

Wewe kweli ni HOPELESS
 
Nilijua wewe ni Mwanamke mwenzao kwa maana wao pia hawavai socks wala mkanda na Maadili yanawalinda katika hayo tena ndio watu wa kutafuta attention kama wewe.
Kutumia picha ya P DIDDY ni kiashiria kabisa umeshajazwa mtulinga huko nyuma!
 
Kovaa soksi ni muhimu,
Soksi zinakamilisha utanashati
Zinalinda miguu na viatu
Mwanaume kama mwanaume si mvulana laZima uvae soksi
Na nguo ya ndani boksa

Na mkanda ni laZima
Mkanda sio tu unashika suruali ila ni sehemu ya silaha ya kwanza ikitokea tafran
Mwanaume bila mkanda wewe ni mrembo tu na hujielewi
 
Hii fashion ya kutokuvaa soksi ni utozi flani umezuka miaka ya karibuni hapa,kwa watu wenye hela zao unakuta kwenye gari yake anatembea mpk na pair 3 au 4 za viatu kwakuwa kuna wakati joto likizidi miguu inatoa jasho sana hivyo unakuta kwenye occasion moja mtu kabadilisha viatu mara mbili.Umenikumbusha siku moja tozi mmoja tuliingia sehemu,sasa pale inabidi tuvue viatu nje,yule bwana alipovua viatu vyake hali ya hewa pale sitting iliharibika ghafla,kijana kependeza lakini kile kiatu nahisi ana pair moja tu,mtu unavaa kiatu kimoja bila soksi,unashinda nacho kutwa nzima na mihangaiko ya Mbagala mpaka Kariakoo na joto hili la Dar kutakuwa salama kweli...
 
Wa- mbulu na wa-Iraqi wote ni ndugu!

Wakuu kumekuwa na kasumba ya kwamba,kila unapovaa kiatu ni lazima uvae soksi!

Binafsi soksi nilivaa wakati nikiwa shule kwasababu ilikuwa ni lazima kwakuwa ilikuwa ni moja ya sare za shule!

Juzi moja nimeenda mahali fulani nikiwa nimekula suti (Kaunda suti ) ya mikono mirefu halafu chini sikuvaa soksi Bali nilipiga moka yangu safi nikawa nadunda kama kitenesi!,Kwakuwa Nina cheo mahali fulani !,nikawa nasikia maneno kutoka Kwa watu wangu wa karibu ya kwamba,eti wanazungumza kwamba kiongozi asiyevaa soksi ni Muhuni na hapaswi kuaminiwa!

Niliwashangaa sana watu wanaozungumza hivyo kwasababu wao yawezekana ndiyo wakawa na matatizo!

SABABU ZA WATU WENGI KUVAA SOKSI

1.Kama Urembo au utanashati!

2.Kubana vizuri mguu ndani ya kiatu!

Binafsi huwa nilivaa soksi nashindwa Kutembea vizuri kwasababu kiatu kinakuwa kama kinateleza!

Pia nikivaa soksi nakuwa nakosa uhuru wa kujiachia,!

Mwisho,naona kama kuvaa soksi ni Ushamba!

Kama mtaendelea kuniona Muhuni endeleeni kuniona Muhuni but siwezi kuvaa soksi kwasababu zinanikosesha uhuru!
Aisee hii ilinikuta siku ya Harusi yangu niligombana na Shahidi wangu wa Ndoa kisa kutovaa soksi mpaka ikabidi ituamue msajili ndoa mana ugomvi ulikuwa Mkubwa sanaaaa
Hii tabia ipo sana kwa Ndugu zangu Wairaq/ Wambulu wanaona kutovaa soksi ni uhuni duh!
 
Watu wengi wamekariri ujinga badala ya Uhalisia mkuu!
 
Back
Top Bottom