Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kila mtu ana haki ya faragha kama inavyotambulika katika ibara ya 12 ya Tamko la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa ambapo kila mtu hutakiwa kuhakikishiwa usalama wa taarifa zake
Katika hali ya kawaida watu wengi hudhani ‘Kukosa cha kuficha’ wakiamini hawatakiwi kujali, Lakini hata kama chumbani hauna kitu cha kuibwa haina maana uache malango wazi au kuruhusu watu kuingia kiholela
Suala la faragha ni zaidi ya kuogopa vitu vya kuibwa, bali kuwa na staha ya vitu vyako. Hata kama unahisi hauna cha kupoteza mtandaoni, jali kuhusu faragha yako