Kutokuwa na hamu na mpnz wangu

Kutokuwa na hamu na mpnz wangu

City hunter j

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
926
Reaction score
380
Habari zenu
Kama kichwa cha habari kisemavyo nipo nae Kwa takriban miaka minne sasa na kipindi chote tukikutana 100% tulikuwa tunaridhishana, lakini kwenye hizi siku za usoni kama miezi miwili hivi hari imekuwa tofauti sana kiasi kwamba mpaka namuonea huruma hasa huyu mpenzi wangu kwani nafanya maandalizi ya kutosha.

Lakini nikiingia tu dakika 0 tayari afu Jamaa anashtuka sawa baada ya dakika kadhaa lakini tatizo linakuja kwenye kuingia tena kwenye Ile sehemu husika nachelewa mpaka unakuta analala tena kabla hata ya kuona ufalme .

Na hii hali imetokea zaidi ya mara mbili nikawa na mawazo mengi sana na Kuanza kuhisi au Yale mambo yetu ya chips mayai, lakini mimi sio mtumiaji wa hicho chakula, mwezi unaweza pita sijakigusa.

Nafanya mazoezi (jogging) kila weekend na nakula vizuri.
Nikapata ushauri mmoja wa kijinga kwenda kutest kitu tofauti, honestly speaking ilikuwa kama nimetoka jela na vibaya sana nikarudia kama mara nne hivi kupata confidence, nipo vizuri sana.

Sasa kilio changu, sipendi kwenda nje na nilienda ili nipate uhakika tu kama Yaliyomo yamo kwa upande wangu kwa upande wake pia Nampa mawazo sana na maswali yasiyo na majibu kwa wazoefu wa ndoa na mahusiano ya Muda mrefu, madactari ect hii hari kama imewahi kukutokea je uliisolve vipi? Nampenda sana mpnz wangu na malengo yangu mwakani nianze kula halali (ndoa). Msaada kwenye tuta
 
Kwanza Acha Uzinzi Funga Ndowa! Then Acha Pombe! Finally Mtafute MziziMkavu.
Warning: VEGA & VIAGRA usizikurubie
 
Habari zenu
Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nipo nae Kwa takriban miaka minne sasa na kipindi chote tukikutana 100% tulikuwa tunaridhishana, lakini kwenye hizi siku za usoni kama miezi miwili hivi hari imekuwa tofauti sana kiasi kwamba mpaka namuonea huruma hasa huyu mpnz wangu kwani nafanya maandalizi ya kutosha lakini nikiingia tu dakika 0 tayari afu Jamaa anashtuka sawa baada ya dakika kadhaa lakini tatizo linakuja kwenye kuingia tena kwenye Ile sehemu husika nachelewa mpaka unakuta analala tena kabla hata ya kuona ufalme na hii hari imetokea zaidi ya mara mbili.. Nikawa na mawazo mengi sana na Kuanza kuhisi au Yale mambo yetu ya chips mayai, lakini mm sio mtumiaji wa hicho chakula, mwezi unaweza pita sijakigusa.
Nafanya mazoezi (jogging) kila weekend na nakula vizuri.
Nikapata ushauri mmoja wa kijinga kwenda kutest kitu tofauti, honestly speaking ilikuwa kama nimetoka jela na vibaya sana nikarudia kama mara nne hivi kupata confidence, nipo vizuri sana.. Sasaaa kilio changu, sipendi kwenda nje na nilienda ili nipate uhakika tu kama Yaliyomo yamo kwa upande wangu...Kwa upande wake pia Nampa mawazo sana na maswali yasiyo na majibu.. Kwa wazoefu wa ndoa na mahusiano ya Muda mrefu, madactari ect hii hari kama imewahi kukutokea je uliisolve vipi? Nampenda sana mpnz wangu na malengo yangu mwakani nianze kula halali (ndoa). Msaada kwenye tuta
Mkiambiwa muache puchu hamtaki haya sasa imefika kwenye frashpoint
 
una mawazo labda ya ujenzi, pesa huna ndiyo maana haipandi mtungi
 
Hii awamu ya tano, kila kitu mabadiliko. Miaka mingine si mlikuwa vizuri tu
 
una mawazo labda ya ujenzi, pesa huna ndiyo maana haipandi mtungi
Thank youuuu. U got a point miss chaga ujenzi umesimama but tatizo nilikosea na kwenda kando more than two times kujiridhisha na hii hari haitokei but siku nikikutana na wangu aaaaa tatizo pale pale.
 
Thank youuuu. U got a point miss chaga ujenzi umesimama but tatizo nilikosea na kwenda kando more than two times kujiridhisha na hii hari haitokei but siku nikikutana na wangu aaaaa tatizo pale pale.
wako nadhani ukimwangalia unawaza ile nyumba anaisubiria aliniomba kitenge sijampa ,,, au kuomba mzigo unajipanga sana kama unaenda kwenye usahili.. jitahidi wakati wa tendo mambo yenu ya maendeleo yasiingie akilini muda huo.. au kakuomba kitu hujaleta unakumbuka muda huo ... nyumba itaisha tu funga mkanda mpambane
 
Thanks miss
 
Gegendea chini sio kitandani au hata kwy kochi!Au geuza upande wa kitanda na badilisha muonekano wa room yenu etc
 
Sometimes mapenz yanaendana na harufu.. Ukiizoea harufu Fulani inatoa mvuto ndio maana haifai tena.. Usijaribu pia kumfananisha mkeo na totoz zingine zenye mvuto, atakosa mvuto kwako..usipende kushinda home muda woote..ni rahisi kutofautiana Mara kwa Mara kisha inaleta visirani! Zaidi ya yote badilikeni.. Be romantic!!! Na sio kila mkichezacheza muishie kwenye kula mzigo..mueleze au mfanye mwenzio avae vizuri akiwa saafi na apake mafuta yenye harufu tofautitofaut Pengine itasaidia.
 
Thanks Boss. Tafanyia kazi
 
Mbona unasema ulienda kando na wakati hujaoa ? Kugegeda ni suala la feelings kama kuna mambi yanasumbua kichwa ndo matokeo yake hayo
 
Back
Top Bottom