Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Progress of a fool is his own destruction.!!

Misukule nyie mtabaki kuwa misukule tu..utajiri hautengenezwi kwa bando na miguu juu ya meza..you are stupid to believe that

Unachokililia hapa ni mwendelezo wa ujinga wenu tu, vijana katika developed countries wamewekeza kwenye biashara zinazozalisha tangible products nyie misukule mnacheza kamari mlioibatiza jina la mkombozi wa ajira..idiots kabisa
Washamba tu acha wapigwe
 
mbona umepanic sana, nini kimekusibu???
 
Ukurupukaji ndio uliowagharimu wengi hadi forex kuonekana ni scam. Forex ni biashara nzuri mno, introduction ya wiki moja ni ndoto kukupa ufanisi, binafsi nimeisomea kwa gharama kubwa hadi kutunukiwa cheti cha ufaulu.
Ukijua kufanya TECHNICAL ANALYSIS hapo waweza kuwa na mafanikio makubwa ajabu.

Fundamental analysis hiyo ni pata potea kwani MARKET MARKER huwa wanachezea kalenda ( economic news)

Trader mjanja huwa hatrade news kuepuka mitego ya market marker.

Broker..ninamkubali sana Tickmill
 
Mkuu ahsante sana Kwa ufafanizi huu,
Ki Ukweli alichotufanyia Ontario mimi sina hata lakusema yote nimemwachia M/Mungu [emoji24] [emoji24] [emoji24]
pole mnooo mkuu
ila muwe mnatabia yakupokea ushauri pia kwa watu wengine ..maana mlitahadharishwa mapema lakini hamkutaka kusikia..
 
kwa nini usizalishe mali?

hiyo nguvu, muda na mtaji wa kufanya forex ukiwekeza kwenye uzalishaji mali na viwanda vidogo vidogo si unakomboa hata ndugu zako wapate ajira..

kuhusu ontario mtu yeyote smart alielewa kuna udanganyifu toka siku ya kwanza... aliongelea faida tu hakuna hasara... hiyo tu ilileta maswali mengi..... kwa sababu uhalisia ingekuwa na faida tu haina hasara asingejisumbua kulazimisha watu wajiunge... angefanya kimya kimya hadi angekuwa tajiri namba moja Tanzania

Ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndie fursa yenyewe
 
I wish to see you brother!!

Umeichambua vema sana watu wengi wanapenda fursa ila hawapo tayari kuijua kiundani wanasubiri waambiwe yaani watafuniwe na wamezewe pia

Big up brother!!
 
Progress of a fool is his own destruction.!!

Misukule nyie mtabaki kuwa misukule tu..utajiri hautengenezwi kwa bando na miguu juu ya meza..you are stupid to believe that

Unachokililia hapa ni mwendelezo wa ujinga wenu tu, vijana katika developed countries wamewekeza kwenye biashara zinazozalisha tangible products nyie misukule mnacheza kamari mlioibatiza jina la mkombozi wa ajira..idiots kabisa
Acha kukariri maisha
 
Ningependa kuongelea hapo kwa broker!!

Kila mentor wa forex nnaye mjua ana broker wake anayemtumia! na hii sio kwa tmt tu ni dunia nzima!!

Kusema watu wanalazimishwa pia unakosea, maana kabla hujajiunga unapewa terms and condition, moja wapo ni hiyo ya broker!! unasoma ukiridhia ndio unajiunga!!!

Sielewi unaposema "wanalazimishwa kutumia broker" una maanisha nini maana huu ni utaratibu wa mentors wote na sio tmt pekee!!
 
Haya Ontario na TMt yake Again,Wacha sie tuendelee kupigwa na Huyo Jp markets maana sisi ndio tuliochagua kupigwa ntaendelea kupigwa milele na Jp markets kwa kudeposit kirahis na kuwith draw kirahisi ipitie TmT ipitie FNB ntaendelea kua Msukule wa Ontarion Milele.
 
Back
Top Bottom