Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Independent walker rise other
Screenshot_20180130-194709.png
 
Mr Kipago

Ujinga ni pale unapojaribu kuongelea usichokijua kama unakijua kiundani. Pole sana mkuu nakushauri utafute taarifa sahihi.
 
Yaani watz ni watu wa ajabu sana kama si waafrika wote sisi. Hivi kosa la Ontario ni lipi? Kuwafungua watu macho kuwa kuna kitu kinaitwa forex na kinalipa? Je ni uongo hakuna forex hapa duniani? Je forex hailipi kwa traders makini? Je kuna biashara ambayo yenyewe ni faida tu milele hapa duniani haiyumbi au kupata misukosuko? Kama ukiweza kujibu hayo maswli rahisi lakini yenye mantinki ndani yake hutakuwa na muda wa kumlaumu au kumtukana ontario.

Suppose wewe una kiu ya kunywa maji na bahati nzuri msamaria mwema anakuletea maji kwenye kikombe ili unywe ukate kiu yako. Badala ya kupokea kikombe au glass ya maji kwa mikono yako miwili wewe unataka aliyekuletea hayo maji ndiye akunyweshe mdomoni wakati nguvu unazo za kupokea kikombe na kukipeleka mwenyewe kinywani mwako. Maanake ni nini?

Ontario alituonyesha fursa tena ni fursa nzuri kwelikweli kwa wale wanaojibidisha. Badala ya watu kuona hiyo fursa na kujitaabisha ili waweze kuitumia vizuri wao wanataka kila kitu awape ontario kweli jamani kweli! Ama kweli ule msemo wa "if you want to hide something for black people put it in writing" ni wa kweli kabisa. Watz kwa asilimia kubwa kabisa tumezoea spoon feeding hatutaki kutafuta maarifa hasa pale yanapopatikana kwa kusoma vitabu. Tumezoea story za kuambiwa za mtaani na kuzigeuza kana kwamba ndiyo kweli hatuna muda wa kufuatilia mambo kwa undani tunaabudu sana umbeya na ushilawdu tu kuliko kufutilia issues!

Mimi binafsi nampongeza sana sana ndugu Ontario kwa kunitoa tongotongo kwenye hii fursa ya forex. Sijawahi kuhudhuria darasa lolote la tmt lakini nilipopata habari za hii fursa bila kusita nilianza mchakato wa kusoma kupitia mtandao wa internet na vitabu vilivyokuwa viawekwa kwenye magroup ya forex. Nimesoma na kufanya demo trading kwa muda usiopungua miezi mitano na sasa natrade in profit! japo kuna loss ndogo ndog za hapa na pale lakini faida ni kubwa kuliko loss!

HIVYO TUSIPENDE KULAUMU WATU WANAOTUONYESHA FURSA KWA UZEMBE WETU WENYEWE!
 
Nimesoma na kufanya demo trading kwa muda usiopungua miezi mitano na sasa natrade in profit! japo kuna loss ndogo ndog za hapa na pale lakini faida ni kubwa kuliko loss!
onyesha unavyopata faida
 
Mkuu ahsante sana Kwa ufafanizi huu,
Ki Ukweli alichotufanyia Ontario mimi sina hata lakusema yote nimemwachia M/Mungu [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pole sana mkuu....
Kumbe wewe ndie yule mzee alie kufokea....[emoji47] [emoji47]
 
Nitatoa nafasi moja ya mentorship bure kabisa sitahitaji malipo yoyote kwa atakayefanikiwa kupata nafasi hiyo.
Soon ntatoa update jinsi ntakavyompata

Nafurahi pia kuona watu wanakuja Pm kunichora
Tutumie MBs zetu kufanya yenye faida
 
Nitatoa nafasi moja ya mentorship bure kabisa sitahitaji malipo yoyote kwa atakayefanikiwa kupata nafasi hiyo.
Soon ntatoa update jinsi ntakavyompata

Nafurahi pia kuona watu wanakuja Pm kunichora
Tutumie MBs zetu kufanya yenye faida
Hakuna lolote hapa,hauwezi fanya training, pasipo kumchafua,huyo,jamaa
 
Hakuna lolote hapa,hauwezi fanya training, pasipo kumchafua,huyo,jamaa
Sina training ndugu wapi nmeandika nitafanya training?
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people.
 
Sina training ndugu wapi nmeandika nitafanya training?
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people.
Aim ya hii thread ndio hiyo hakuna Kingine
 
Progress of a fool is his own destruction.!!

Utajiri hautengenezwi kwa bando na miguu juu ya meza..
Unachokililia hapa ni mwendelezo wa ujinga tu, vijana katika developed countries wamewekeza kwenye biashara zinazozalisha tangible products nyie mnacheza kamari mlioibatiza jina la mkombozi wa ajira.
Bro sio kamali its knowledge

Ni kama statistics katika geography na Math

Sema utapeli unakuja pale unahitaji broker

Ofcoz katika execution inahitaji broker

But ukifanikiwa pata the right broker u will make it.

But its for small money...
 
Back
Top Bottom