Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Nafkiri lile wenge la forex limeisha jinsi ilivyokuja masikioni kwa watu na matarajio yaliyokwa kabla na ukweli uliopo na uliokutwa juu ya forex baada ya kuingia. Basi kwa kuwa ukweli umejulikana twende hapa, hii ni kwa wote tuliopo kwenye biashara hii tukasome kitabu hiki ambacho kimefafanua basic logics kutoka katika vitabu kadhaa muhimu vya forex na kuwekwa kwenye nakala moja kwa lugha ya kiswahili. Jinsi ya kukipata mawasiliano haya
0625934471 & 0653935820. Popote ulipo Tanzania hii.
IMG_20180205_165937_736.jpg
 
Nafkiri lile wenge la forex limeisha jinsi ilivyokuja masikioni kwa watu na matarajio yaliyokwa kabla na ukweli uliopo na uliokutwa juu ya forex baada ya kuingia. Basi kwa kuwa ukweli umejulikana twende hapa, hii ni kwa wote tuliopo kwenye biashara hii tukasome kitabu hiki ambacho kimefafanua basic logics kutoka katika vitabu kadhaa muhimu vya forex na kuwekwa kwenye nakala moja kwa lugha ya kiswahili. Jinsi ya kukipata mawasiliano haya
0625934471 & 0653935820. Popote ulipo Tanzania hii.View attachment 691466
Ukweli mchungu
Forex is not for everyone
 
Hakuna anayejua nafanyeje Fx Hakuna anayenifaham mm ni nani
Natoa tu challenge ya watu kusoma sana na kujifunza kitu na kama mtu akidedicate muda wake.
Unajua nna mda gani silali nipo kwenye keyboard naisoma Fx in and out?
Forex sio kamari kama unavyosema Hakuna kamari unayosoma zaidi ya miezi 5 ili kuielewa labda uitambulishe wewe.
Mkuu hujaiona pm yangu,..???
 
Kama kawaida yangu napenda kukuza akaunti ndoogo nilikua nailenga hi pair tangu mchana nikampa MTU tafu usioji ktk yangu ni mauaji tens ya kimbari
Screenshot_20180206-201504.png
 
Money mondays
anything isnt an opportunity untill you get in and there is the place you will learn everything
Advice dont do Demo trading you will lose something crucial in your mind, do live trading even if you will lose your capital you will gain something new.
Because there will be statement like this 'MIGHT HAVE BEEN' we call it "AHAAAA concept"
upload_2018-2-12_16-19-53.png
 
this day i boosted up my /ac for 30min. Patience.. patience

Forex is paying JF Family
upload_2018-2-12_16-55-11.png
 
Je ni Time frame zipi unafanyia analysis, kabla ya kuingia sokoni
upload_2018-2-12_17-27-30.png

Nimejaribu hii HEINKEN ASHI ila naona ainipi picha vizuri ya soko, kama ilivyo kwa CANDLESTICK.

Je kipi unashauri mdau
 
Mkuu ahsante sana Kwa ufafanizi huu,
Ki Ukweli alichotufanyia Ontario mimi sina hata lakusema yote nimemwachia M/Mungu [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Ni aibu kwa mtoto wa kiume kutoa maneno kama haya. Komaa naye kieleweke
 
Ivi Forex ni Moja Ya NETWORK MARKETING AU???????
 
View attachment 694541
Ni kweli inalipa sana.

Tazama screenshot hii yangu, Na nipe ushauri? iwapo kuna kitu ume_Observe
i do scalping. lakin nachez nayo kwenye time frame ya 4h and a hour
kwanini ukifanya kwenye timeframe ndogo utapotea quotes znachange kwa kasi ya ajabu so naangalia timeframe where is trend naenda kwenye timeframe ndogo kabsa 1min and 5min nasell au kubuy kulingana na trend ya timeframe kubwa

watu watajiuliza nazijuaje hizo candles?? nimeattach kitabu (unzip) it yeyote anayependa kusoma kitamsaidia japo ni kikubwa lakini kinakila kitu kuhusu candles
Barikiwa sana.
 

Attachments

Back
Top Bottom