Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu


Nenda Google kasearch mtu anaitwa George Soros..... au waulize waingereza Who is George Soros
 
Nenda Google kasearch mtu anaitwa George Soros..... au waulize waingereza Who is George Soros
Mkuu mbona unakuja na gea za enzi za mawe! Hawa wapiga debe wa Forex ndio waliingia na hiyo gea ya ''mtu anayeitwa George Soros'' na wakaeleza mengi. Sasa ndugu yangu wewe unakuja na gea ilikyokwisha kupitwa na wakati ukifikiria ndio umeni-challenge kweli kweli! Ulikuwa jela?
 
Trading is all about psychology, na hapa ndio watu wengi walipofeli........... Hakuna uchawi mwingine
Asante sana. Kumbe hata wewe unakiri kuwa watu wengi wanafeli kwa sababu ya ugumu wa ''psychology of trading''. Na ndio hasa point yangu i.e. Forex ni biashara kama ''biashara'' ngumu kama nyingine! Sasa kisa cha kuwaunganisha tela watu ili wajiunge na Forex huku ukiwaaminisha ni njia rahisi ya mafanikio ni nini?
 
Wapo billionaires wengi waliofanikiwa katika forex,.... you may google it na hapo ndio utagundua kwamba hata huyo Soros siyo tajiri wa kwanza
 

Hapa siwezi kuwa na majibu kwa kweli
 
Binafsi sijaona ujanja wowote, kilichopo ni kwamba katika spread kuna kiasi ambacho wanapata kama sehemu yao kwa ajili ya zile calls

Na kama mtu amefikia hatua ya kuwa independent trader wala hawana shida, unajitoa tu

Je ni kwanini hawakuwa wawazi tangu mwanzo kwamba wao ni IB wa JP markets?
 
Wapo billionaires wengi waliofanikiwa katika forex,.... you may google it na hapo ndio utagundua kwamba hata huyo Soros siyo tajiri wa kwanza
Na mimi nakuambia google uangalie wapo wengi waliotajirika kwa software development!
 
Mkuu ahsante sana Kwa ufafanizi huu,
Ki Ukweli alichotufanyia Ontario mimi sina hata lakusema yote nimemwachia M/Mungu [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka kwa nguvu..mkuu inaonekana una uchungu
 
labda broker A na B faida inaweza tofautiana


Kitakachotofautisha faida labda ni spread na commision which is obvious a very small difference kama trades zako zina profit kubwa kidogo
 
Forex Power
Trade to get financial freedom

All the best traders
1. Katika mpangilio wako anza na technical then fundamental halafu sentiment iwe ya mwisho..... Fundamenta ila kosa kitu kimoja na ndio maana haiwezi kuwa ya kwanza. Ni ngumu kugundua effect za hiyo fundamental zitalast for how long. Kama umesoma Vitabu vya Mark Douglas sikumbuki kama ni Displined trader au Trading in the zones, amezungumzia hicho kitu.

2. Nimeshtuka uliposema akaunti ikiwa na Equity kubwa inakuwa na Profit kubwa. No matter what the Leverage, Balance e.t.c. kama ww una $10,000 na mm nna $300 kama wote tukiweka trade zenye volume sawa, basi lazima profit iwe sawa kama broker ni mmoja. Na hata kama broker akiwa tofauti basi profit hazitapishana sana kutokana na the way broker anavocalculate profit, Commision na spread za brokers husika. Go and Read
 
Katika mpangilio wako anza na technical then fundamental halafu sentiment iwe ya mwisho
thumb up sikumaansha kuwa ule ndiyo mpangilio, technical>fundamental>sentiment kwanini??
ukifanya technical analysis unapata trend patern uelekeo upo wapi kuptia aina za candlesticks, shape mbali mbali kwamba uelekeo upo huku ukija fundamental unaverify tu tofauti ukianza na fundamental ukaja technical utafanya generalization sana candlestick zinakuchanganya usipostudy vizuri trend patern.
Nimeshtuka uliposema akaunti ikiwa na Equity kubwa inakuwa na Profit kubwa.
nilikuwa sahihi you cant open big lot even if you got good setups, kuhusu leverage kuna aliyeigiza mjuaji akakutana na mimi
 
Wapo billionaires wengi waliofanikiwa katika forex,.... you may google it na hapo ndio utagundua kwamba hata huyo Soros siyo tajiri wa kwanza
don trade to be a milionare just demand consistence millions will come itself but you are going into market because you want cheap money blowing a/c will be your usual business. Get it
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Kwa wale wanaohitaj bonus za kuanza kutrade ni pm nitakudirect namna ya kupata ni rahic n wala hauhitaj kudeposit ili uweze kutoa faida yako....ukiishapata faida unatoa hela yako kiulaini kabisa..unaweza kuitumia kwa matumizi yako au kutransfer to another trading account...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…