James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,761
Mkuu nilichosema na hoja yangu iko hapa: Channels na fields zote zinazo/zilizotajirisha watu mbali mbali zinajulikana na ukichukua list inayotolewa ya matajiri duniani na shughuli wanazofanya utakuta vitu kama software, real estate, etc kwa kifupi ni nyingi. Mbnona sijawahi kuona hata mmoja aliyetajirika kwa channel ya forex? (Kama wapo naomba unijulishe. Na naomba uniambia watu wanaojulikana rasmi na sio hawa wanaozungumzwa kama misukule inayofufuliwa ambayo ''inasemekana'' na ''haionekani'').
Nenda Google kasearch mtu anaitwa George Soros..... au waulize waingereza Who is George Soros