Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Kusema ukweli Ontario hana makosa. Kwa sababu mentor yeyote lazima awe na broker wake.
Cha muhimu hapa ni kwamba JP markets sio broker mzuri.
 
hebu niajiri mkuu hata kuosha magari kwanza maana hamna namna
 
Forex pays me pal, nikisema nianze mentorship ntachafua hali ya hewa.
Doesnt anyone want to download blue screen?? Nani hapendi pesa??
Nakuonea huruma
mkuu hebu ukiona huu ujumbe naomba uni inbox. maana nataka kujua mambo kadhaa kutoka kwako
 
Done for today nikakuuliza like how much? means ume make pesa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…