Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu

Ukurupukaji ndio uliowagharimu wengi hadi forex kuonekana ni scam. Forex ni biashara nzuri mno, introduction ya wiki moja ni ndoto kukupa ufanisi, binafsi nimeisomea kwa gharama kubwa hadi kutunukiwa cheti cha ufaulu.
Ukijua kufanya TECHNICAL ANALYSIS hapo waweza kuwa na mafanikio makubwa ajabu.

Fundamental analysis hiyo ni pata potea kwani MARKET MARKER huwa wanachezea kalenda ( economic news)

Trader mjanja huwa hatrade news kuepuka mitego ya market marker.

Broker..ninamkubali sana Tickmill
Tickmill waweza withdrawal kwa MPESA?
 
kwa nini usizalishe mali?

hiyo nguvu, muda na mtaji wa kufanya forex ukiwekeza kwenye uzalishaji mali na viwanda vidogo vidogo si unakomboa hata ndugu zako wapate ajira..

kuhusu ontario mtu yeyote smart alielewa kuna udanganyifu toka siku ya kwanza... aliongelea faida tu hakuna hasara... hiyo tu ilileta maswali mengi..... kwa sababu uhalisia ingekuwa na faida tu haina hasara asingejisumbua kulazimisha watu wajiunge... angefanya kimya kimya hadi angekuwa tajiri namba moja Tanzania

Ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ndie fursa yenyewe
una viwanda vingapi?
 
una viwanda vingapi?

kwa vigezo vya cherehani nne ni kiwanda.. nina viwanda vingi sana...

1. ni mmiliki wa tshirt workshop

2. ni mmiliki wa studio ya kupiga picha za kisasa

3. ni mmiliki wa loundry and dry creaning shop

4. ni mmiliki wa car wash

5. ni mmiliki wa sehem za kuonesha mpira kadhaa...

na zingine nyingi ikiwemo mkulima
 
Hahaha,Freshman umesema kweli kabisa
 
kwa vigezo vya cherehani nne ni kiwanda.. nina viwanda vingi sana...

1. ni mmiliki wa tshirt workshop

2. ni mmiliki wa studio ya kupiga picha za kisasa

3. ni mmiliki wa loundry and dry creaning shop

4. ni mmiliki wa car wash

5. ni mmiliki wa sehem za kuonesha mpira kadhaa...

na zingine nyingi ikiwemo mkulima
hivyo ndivyo ulivyochagua maisha yako,na wengine wamechagua forex,heshimu uamuzi wao,hawali kwako
 
KAMA UNA BALANCE NZURI SIO VIBAYA IKIICHUKUA HII
SELL NZDUSD
TP 0.72834
SL 0.73635
Fx For life
upload_2018-2-26_17-32-56.png

Extra for today

upload_2018-2-26_17-33-12.png

Not for everyone
 
Kudownload pesa 'hewani'... hii kitu nilijaribu kutuliza akili zangu zooote za usiku & mchana, but nikawa naona chenga tu!

Nilianza kwa kujisomea vitabu me mwenyewe, then nikapractise kwa demo, nikawa sielewi... uduwanzi tu.

Eventually, nikaconfirm ule usemi wa kwamba 'FOREX isn't for everybody'. Hii kitu tuwaachie 'akili kubwa' akina Khantwe waendelee kudownload pesa hewani.

I re-switched back to street hustling.

-Kaveli-
 
Nitatoa nafasi moja ya mentorship bure kabisa sitahitaji malipo yoyote kwa atakayefanikiwa kupata nafasi hiyo.
Soon ntatoa update jinsi ntakavyompata

Nafurahi pia kuona watu wanakuja Pm kunichora
Tutumie MBs zetu kufanya yenye faida
Wale wale tu..yaani unakuja kimkandia Jeff kumbe unataka kuwa na wewe mentor..!!
 
Kudownload pesa 'hewani'... hii kitu nilijaribu kutuliza akili zangu zooote za usiku & mchana, but nikawa naona chenga tu!

Nilianza kwa kujisomea vitabu me mwenyewe, then nikapractise kwa demo, nikawa sielewi... uduwanzi tu.

Eventually, nikaconfirm ule usemi wa kwamba 'FOREX isn't for everybody'. Hii kitu tuwaachie 'akili kubwa' akina Khantwe waendelee kudownload pesa hewani.

I re-switched back to street hustling.

-Kaveli-
Acha uoga baba mimi mwenyewe bado hata sielewi nikisoma vitabu nilikuwa chenga tu. Nenda training upate mwanga then urudi kusoma
 
Wale wale tu..yaani unakuja kimkandia Jeff kumbe unataka kuwa na wewe mentor..!!
Forex pays me pal, nikisema nianze mentorship ntachafua hali ya hewa.
Doesnt anyone want to download blue screen?? Nani hapendi pesa??
Nakuonea huruma
 
GBPUSD breakout
my personal skills gonna kill the market
upload_2018-2-28_23-13-29.png
 
waiting for setup while milking few $$ and then market will get something of me
upload_2018-2-28_23-53-47.png
 
Back
Top Bottom