Tickmill waweza withdrawal kwa MPESA?Ukurupukaji ndio uliowagharimu wengi hadi forex kuonekana ni scam. Forex ni biashara nzuri mno, introduction ya wiki moja ni ndoto kukupa ufanisi, binafsi nimeisomea kwa gharama kubwa hadi kutunukiwa cheti cha ufaulu.
Ukijua kufanya TECHNICAL ANALYSIS hapo waweza kuwa na mafanikio makubwa ajabu.
Fundamental analysis hiyo ni pata potea kwani MARKET MARKER huwa wanachezea kalenda ( economic news)
Trader mjanja huwa hatrade news kuepuka mitego ya market marker.
Broker..ninamkubali sana Tickmill