Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mpinzani atashinda Watanzania wamewakataa nyie vibaraka wa mabeberu Sexless,
Ulitegemea Mbowe afurahie Zitto kumyanganya KUB?Umeona mbali CCM wanatazama reaction . Mpaka Sasa hakuna reaction watu wamejiloga kwenye Mikutano ya Lisu na kusahau wajibu mkubwa . Utakataje watu 500 kizembezembe na ikapita hivihivi. Waende Dodoma watoe siku moja .
Inaonekana Zitto hawezi kukaa na Mbowe na inawezekana Mbowe anafurahia ACT kupokwa viti Pemba akiwinda kuwa KUB.
Ukweli Ni Kwamba wakiacha haya yatokee yatakuja maovu zaidi kwani hata huo ubunge hawatatangazwa kamwe.
Media wenyewe wamewakataa, mtaitisha nani atakuja? endeleeni kujifurahisha na hao mamia wanaokuja kushangaa muujiza wenu unaotembea mkijidanganya ni kura.Hakuna mpinzani atashinda Watanzania wamewakataa nyie vibaraka wa mabeberu Sexless,
Ulitegemea Mbowe afurahie Zitto kumyanganya KUB?Umeona mbali CCM wanatazama reaction . Mpaka Sasa hakuna reaction watu wamejiloga kwenye Mikutano ya Lisu na kusahau wajibu mkubwa . Utakataje watu 500 kizembezembe na ikapita hivihivi. Waende Dodoma watoe siku moja .
Inaonekana Zitto hawezi kukaa na Mbowe na inawezekana Mbowe anafurahia ACT kupokwa viti Pemba akiwinda kuwa KUB.
Ukweli Ni Kwamba wakiacha haya yatokee yatakuja maovu zaidi kwani hata huo ubunge hawatatangazwa kamwe.
Tutajie raslimali moja tu iliyouzwa hadi leo na wanunuzi ni nchi gani. CCM mwaka huu mtavaa pampasi ili mpate kubebwa maana si kuishiwa hoja namna hiiImechuja ya kutumiwa na Mabeberu kuuza raslimali zetu ?
Pamoja na ahadi hiyo bado pressure Kali inahitajika . Hata hiyo ahadi ya kutoa majibu tarehe 10 Ni zao la pressure ndogo iliyowekwa chama kimojakimoja . Hili swala lipigiwe kelele sisi wapiga kura hatujui Kama tarehe 10 ndio majibu.Majibu ya rufaa ya mapingamizi yatatolewa tarehe 10/09/2020 ngoja tusubili itakuwaje
Kwani kibatara hayupo?Kutokuwasiliana kwa viongozi wakuu wa ACT Wazalendo na CHADEMA kumewapa mwanya CCM kufanya watakavyo.
Suala la mapingamizi ni suala nyeti hivyo linahitaji nguvu kubwa.
Kipindi Cha Korona mbowe alichachamaa Kila siku mfululizo na speech zake zilipatikana kirahisi kwenye social media. Iweje leo amekaa kimya . Iweje wagombea waende tume peke yao badala ya kwenda na viongozi wao.
Inawezekanaje kupata muda wa kuridhiana na TBC mkashindwa kupata muda wa kuweka presha kubwa kwa tume. Au Mbowe na Chadema mmekubali udhalimu huu wa kuengua wagombea?
Kazhia hii sio ya kushughulikiwa na chama kimoja. Zitto Mbowe ondoeni tofauti zenu kwa maslahi ya upinzani demokrasia na utu ustaarabu na maendeleo ya taifa.
Nawaagiza Mbowe Seif Lisu, Zitto kaeni pamoja itisheni mkutano na media . Pelekeni malalamiko yenu balozi na jumuiya za kimataifa . Toeni siku moja msifanye kampeni nendeni DODOMA kuwasilisha uhitaji wa majibu ya rufaa .
Mbowe kama mwenyekiti hukupaswa kugombea ubunge . Kugombea kwako kunaathiri sana mikakati na utekelezaji wa kampeni. Next time achia Jimbo Kama Mnyika.
Viongozi wa ACT na Chadema wanashindana sana . Chadema wanajiona Wana nafuu kwa kutazama nyomi wasichojua ACT ikipata hata hivyo viti 10 vilivyobaki huko Pemba bado ACT atatoa KUB na huyo KUB sio Zitto kwani Zitto hatashinda kamwe.Ulitegemea Mbowe afurahie Zitto kumyanganya KUB?
Kama haitoshi hata yule mzee nikinukishe haleti hamasa kama tulivyotegemea.
Mtaji uliobakia ni wa wabunge ili kutetea ruzuku.
Jambo la kujiuliza katika rufaa ya kupinga mapingamizi kwanini hakuna hata mmoja ya CCM?
Mbaya zaidi rufaa zao zimecheleweshwa wanashindwa kujipanga vizuri.
Chadema wabinafsi unafikiri nani wa kuungana nao? Uchaguzi uliopita vyama vilijitoa sana chini ya ukawa Chadema wakanufaika, likaja swala la kambi rasmi na ruzuku wakajimilikisha, hatujasahau ng'oo. Na mwaka huu Chadema wanapigwa kwenye box hadi aibu! Magu 5 tenaKutokuwasiliana kwa viongozi wakuu wa ACT Wazalendo na CHADEMA kumewapa mwanya CCM kufanya watakavyo.
Suala la mapingamizi ni suala nyeti hivyo linahitaji nguvu kubwa.
Kipindi Cha Korona mbowe alichachamaa Kila siku mfululizo na speech zake zilipatikana kirahisi kwenye social media. Iweje leo amekaa kimya . Iweje wagombea waende tume peke yao badala ya kwenda na viongozi wao.
Inawezekanaje kupata muda wa kuridhiana na TBC mkashindwa kupata muda wa kuweka presha kubwa kwa tume. Au Mbowe na Chadema mmekubali udhalimu huu wa kuengua wagombea?
Kazhia hii sio ya kushughulikiwa na chama kimoja. Zitto Mbowe ondoeni tofauti zenu kwa maslahi ya upinzani demokrasia na utu ustaarabu na maendeleo ya taifa.
Nawaagiza Mbowe Seif Lisu, Zitto kaeni pamoja itisheni mkutano na media . Pelekeni malalamiko yenu balozi na jumuiya za kimataifa . Toeni siku moja msifanye kampeni nendeni DODOMA kuwasilisha uhitaji wa majibu ya rufaa .
Mbowe kama mwenyekiti hukupaswa kugombea ubunge . Kugombea kwako kunaathiri sana mikakati na utekelezaji wa kampeni. Next time achia Jimbo Kama Mnyika.
Huko ulikosomea kozi ya uchonganishi yaonekana ulifeli sana. Kama ni uongo bandika cheti hapa.Umeona mbali CCM wanatazama reaction . Mpaka Sasa hakuna reaction watu wamejiloga kwenye Mikutano ya Lisu na kusahau wajibu mkubwa . Utakataje watu 500 kizembezembe na ikapita hivihivi. Waende Dodoma watoe siku moja .
Inaonekana Zitto hawezi kukaa na Mbowe na inawezekana Mbowe anafurahia ACT kupokwa viti Pemba akiwinda kuwa KUB.
Ukweli Ni Kwamba wakiacha haya yatokee yatakuja maovu zaidi kwani hata huo ubunge hawatatangazwa kamwe.
Ebu ona tofauti hiyo kubwa ya ofisi za makao makuu kati ya vyama hivuo wiwilo [emoji116]Kutokuwasiliana kwa viongozi wakuu wa ACT Wazalendo na CHADEMA kumewapa mwanya CCM kufanya watakavyo.
Suala la mapingamizi ni suala nyeti hivyo linahitaji nguvu kubwa.
Kipindi Cha Korona mbowe alichachamaa Kila siku mfululizo na speech zake zilipatikana kirahisi kwenye social media. Iweje leo amekaa kimya . Iweje wagombea waende tume peke yao badala ya kwenda na viongozi wao.
Inawezekanaje kupata muda wa kuridhiana na TBC mkashindwa kupata muda wa kuweka presha kubwa kwa tume. Au Mbowe na Chadema mmekubali udhalimu huu wa kuengua wagombea?
Kazhia hii sio ya kushughulikiwa na chama kimoja. Zitto Mbowe ondoeni tofauti zenu kwa maslahi ya upinzani demokrasia na utu ustaarabu na maendeleo ya taifa.
Nawaagiza Mbowe Seif Lisu, Zitto kaeni pamoja itisheni mkutano na media . Pelekeni malalamiko yenu balozi na jumuiya za kimataifa . Toeni siku moja msifanye kampeni nendeni DODOMA kuwasilisha uhitaji wa majibu ya rufaa .
Mbowe kama mwenyekiti hukupaswa kugombea ubunge . Kugombea kwako kunaathiri sana mikakati na utekelezaji wa kampeni. Next time achia Jimbo Kama Mnyika.
Hivi hao waliowekewa pingamizi idadi yao hata kama wakishinda wote wanaongeza au wana impact gani na ushindi wa 83%?Kutokuwasiliana kwa viongozi wakuu wa ACT Wazalendo na CHADEMA kumewapa mwanya CCM kufanya watakavyo.
Suala la mapingamizi ni suala nyeti hivyo linahitaji nguvu kubwa.
Kipindi Cha Korona mbowe alichachamaa Kila siku mfululizo na speech zake zilipatikana kirahisi kwenye social media. Iweje leo amekaa kimya . Iweje wagombea waende tume peke yao badala ya kwenda na viongozi wao.
Inawezekanaje kupata muda wa kuridhiana na TBC mkashindwa kupata muda wa kuweka presha kubwa kwa tume. Au Mbowe na Chadema mmekubali udhalimu huu wa kuengua wagombea?
Kazhia hii sio ya kushughulikiwa na chama kimoja. Zitto Mbowe ondoeni tofauti zenu kwa maslahi ya upinzani demokrasia na utu ustaarabu na maendeleo ya taifa.
Nawaagiza Mbowe Seif Lisu, Zitto kaeni pamoja itisheni mkutano na media . Pelekeni malalamiko yenu balozi na jumuiya za kimataifa . Toeni siku moja msifanye kampeni nendeni DODOMA kuwasilisha uhitaji wa majibu ya rufaa .
Mbowe kama mwenyekiti hukupaswa kugombea ubunge . Kugombea kwako kunaathiri sana mikakati na utekelezaji wa kampeni. Next time achia Jimbo Kama Mnyika.
Hakuna aliyeporwa fomu Mkuu, wagombea wengi wa Upinzani ni njaa kali walijikosesha makusudi ili wafanye biashara nyuma ya pazia
Unaambiwa wagombea wengine walijikosesha kujaza fomu ili wasiteuliwe na tume Kwani wanajua hawatashinda Uchaguzi
Zitto amejitahidi akitegemea Membe ataongeza kasi ya viti vya ubunge,lakini mambo ni kinyume.Viongozi wa ACT na Chadema wanashindana sana . Chadema wanajiona Wana nafuu kwa kutazama nyomi wasichojua ACT ikipata hata hivyo viti 10 vilivyobaki huko Pemba bado ACT atatoa KUB na huyo KUB sio Zitto kwani Zitto hatashinda kamwe.
Kwa kutumia wasanii CC M inakusanya nyomi na hizo nyomi zitatumika Kama justification ya kulpora ushindi
Wewe ni kyuumaa sasa kama hawatashinda na wananchi wamewakataa kwanini mnawakata bila sababu za msingi? Wagombea wameporwa fomu zao,wagombea wametishiwa maisha,wagombea wamevamiwa usiku majumbani mwao,halafu wewe khanithi unasema wananchi hawatawachagua,hofu na mashaka ni ya nini?
Watu hawaelewi Jambo moja kuwa Chadema Ni brand kubwa . Kama Membe angekwenda CDM nae angevuma. Hata Lowassa watu wanashani alikuwa na nyombi zake binafasi , la hasha. Chama kilikubalika sana kipindi kileZitto amejitahidi akitegemea Membe ataongeza kasi ya viti vya ubunge,lakini mambo ni kinyume.
Chadema nayo inatembeza bakuli kiholela bila plan.
CCM wanahubiri 100% ushindi bara wakidai hawako tiyari kushirikiana na wabunge na madiwani wa upinzani kuendeleza nchi.
Lakini kilicho wazi wapinzani wakubwa wamegawanyika.Wapinzani wadogo nao wameshindwa kuvuma sababu ya mtaji.