Sio donor, huko hatujafika. Ni dona, tena kutwa mara mbili, mchana na usiku.Tanzania Ni Tajiri
Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa
Donor Country!![emoji23][emoji16][emoji28][emoji57][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio donor, huko hatujafika. Ni dona, tena kutwa mara mbili, mchana na usiku.Tanzania Ni Tajiri
Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa
Donor Country!![emoji23][emoji16][emoji28][emoji57][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1787]
Kuniita gunzi haikupi ushindi wa hoja bali ni kujithibitishia wewe mwenyewe kuwa ni ndondocha.Kwani kukosekana kwa demokrasia kwenye vyama vya upinzani inahalalisha kuwa ukosefu wa demokrasia ndani ya CCM ni jambo jema na upaswa kuungwa mkono?Unaelewa kuwa two wrongs can't make a right?Niambie Ni Chama gani Cha upinzani Kuna demokrasia? Niambie viongozi wa vyama vya upinzani na wagombea Ubunge wa majimbo na vitimaalumu kwenye hivyo vyama vya upinzani wanapatikana kwa namna gani?Kama si kuteuana tu kwa kujuana,Rushwa na uhuni. Sasa Kama umeshindwa kujua demokrasia iliyopo kwenye vyama vya upinzani huwezi kujitambua wewe bilashaka wewe ni GUNZI