Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

Tanzania Ni Tajiri
Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa
Donor Country!![emoji23][emoji16][emoji28][emoji57][emoji1][emoji1][emoji23][emoji1787]
Sio donor, huko hatujafika. Ni dona, tena kutwa mara mbili, mchana na usiku.
 
Kuniita gunzi haikupi ushindi wa hoja bali ni kujithibitishia wewe mwenyewe kuwa ni ndondocha.Kwani kukosekana kwa demokrasia kwenye vyama vya upinzani inahalalisha kuwa ukosefu wa demokrasia ndani ya CCM ni jambo jema na upaswa kuungwa mkono?Unaelewa kuwa two wrongs can't make a right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…