Kutokuwepo kwa masoko mazuri ya mazao nini tatizo?

Kutokuwepo kwa masoko mazuri ya mazao nini tatizo?

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Kumekuwepo na mdororo wa bei za mazao kwa wakulima je kuna tatizo gani na Je Bodi za mazao zina msaada gani kwa wakulima kwa upande wa masoko?

Kumekuwapo na malalamiko ya sehemu kubwa wakulima wengi kukokosa masoko mazuri ya uuzwaji wa mazao yao kama mahindi, mbaazi, kahawa n.k

Wadau nashuka mezani nikiwa nasubiri maoni yenu!

ASANTENI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mpuuzi yaani usijue kabisa tatizo ni CCM matatizo yote ya nchi hii wameyaumba wao afu eti wanalalama...![emoji33][emoji33][emoji33] Ingawa simanishi jawabu ni CHADEMA au CUF.

Mpala siku somo likieleweka sisi wananchi tukajua namna ya kuwaadhibu hawa wapuuzi (wanasiasa uchwara). Otherwise msahau kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote CCM wabovu mjomba. Kumbuka msafara wa mamba ule msemo. CCM hao hao wamepata soko safi la mhogo kwa XI PING l lakini kuna ????? sana kwa hilo soko na wanunuzi waliokuja.

Kwa nia njema kabisa nakuombeni tujadili uzi kama ma GT
Wewe ni mpuuzi yaani usijue ksbisa tatizo ni CCM...![emoji33][emoji33][emoji33] Ingawa simanishi jawabu ni CHADEMA au CUF.

Mpala siku somo likieleweka sisi wananchi tukajua namna ya kuwaadhibu hawa wapuuzi (wanasiasa uchwara). Otherwise msahau kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote CCM wabovu mjomba. Kumbuka msafara wa mamba ule msemo. CCM hao hao wamepata soko safi la mhogo kwa XI PING l lakini kuna ????? sana kwa hilo soko na wanunuzi waliokuja.

Kwa nia njema kabisa nakuombeni tujadili uzi kama ma GT

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikuulize kitu, CCM unaelewa ni akina nani au CCM ni nani hasa??? Wananchi bila kujua namna bora ya kuiwajibisha serikali tutaishia kulalama tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukistaajabu ya Mbaazi utaona ya Korosho. Mkuu tuna viwanda 3000 peleka kwenye kimoja wapo.

Maendeleo hayana Chama, Nyumbani kumenoga.
 
Hapo maanake uzalishaji umezidi mahitaji. Inabidi kupamba kutafuta Masoko nje ya nchi. Tccia na tantrade ndiyo kazi yao lakini naona wamekaa Maofisini kusubiri mishahara. Viongozi wao hawana mikakati na ubunifu
 
Back
Top Bottom