Wewe ni mpuuzi yaani usijue ksbisa tatizo ni CCM...![emoji33][emoji33][emoji33] Ingawa simanishi jawabu ni CHADEMA au CUF.
Mpala siku somo likieleweka sisi wananchi tukajua namna ya kuwaadhibu hawa wapuuzi (wanasiasa uchwara). Otherwise msahau kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikuulize kitu, CCM unaelewa ni akina nani au CCM ni nani hasa??? Wananchi bila kujua namna bora ya kuiwajibisha serikali tutaishia kulalama tu.Sio wote CCM wabovu mjomba. Kumbuka msafara wa mamba ule msemo. CCM hao hao wamepata soko safi la mhogo kwa XI PING l lakini kuna ????? sana kwa hilo soko na wanunuzi waliokuja.
Kwa nia njema kabisa nakuombeni tujadili uzi kama ma GT
Sent using Jamii Forums mobile app