mwalidebe
JF-Expert Member
- Mar 27, 2016
- 425
- 250
Naombeni msaada mke wangu toka alipo acha kutumia sindano za depo amekuwa akitokwa damu ukeni huu sasa unaenda mwezi wa pili.
Alienda hospitali akapatiwa dawa lakini bado tatizo lipo pale pale.
Nimemuuliza maswali akajieleza vizuri kuwa aliwa kutoa mimba mara mbili lakini pia amewai kutumia vipandikizi ama vijiti vya uzazi wa mpango sasa baada ya kunipata mimi alikuwa ametumia sindano za depo nikamwambia akatoe sasa toka alipo pata hezi damu haija acha kutoka kitu ambacho kinanikusesha raha sana kwenye ndoa yangu.
Mke wangu anamiaka 26,naombeni mnisaidie nawezaje kupata ufumbuzi wa tatizo hili. Pengine uliwai kusikia mtu mwenyeshida kama ya mke wangu akapona au wewe ni doctor.
Kwa ufupi naomba mnisaidie ili niifurahie ndoa yangu changa hii.