Kutokwa damu ukeni muda mrefu sasa

Kutokwa damu ukeni muda mrefu sasa

mwalidebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
425
Reaction score
250
Naombeni msaada mke wangu toka alipo acha kutumia sindano za depo amekuwa akitokwa damu ukeni huu sasa unaenda mwezi wa pili.
Alienda hospitali akapatiwa dawa lakini bado tatizo lipo pale pale.

Nimemuuliza maswali akajieleza vizuri kuwa aliwa kutoa mimba mara mbili lakini pia amewai kutumia vipandikizi ama vijiti vya uzazi wa mpango sasa baada ya kunipata mimi alikuwa ametumia sindano za depo nikamwambia akatoe sasa toka alipo pata hezi damu haija acha kutoka kitu ambacho kinanikusesha raha sana kwenye ndoa yangu.

Mke wangu anamiaka 26,naombeni mnisaidie nawezaje kupata ufumbuzi wa tatizo hili. Pengine uliwai kusikia mtu mwenyeshida kama ya mke wangu akapona au wewe ni doctor.

Kwa ufupi naomba mnisaidie ili niifurahie ndoa yangu changa hii.
 
Pia mkuu mwambie aende hospital akazieleze shida au dalili zingine za uko ukeni mbali na hiyo bleeding, yawezekana zikawa zinachochea.

Kuna baadhi ya magonjwa ya ukeni, huwa yanachochea bleeding inakuwa kwa muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada mke wangu toka alipo acha kutumia sindano za depo amekuwa akitokwa damu ukeni huu sasa unaenda mwezi wa pili.
Alienda hospitali akapatiwa dawa lakini bado tatizo lipo pale pale.
Nimemuuliza maswali akajieleza vizuri kuwa aliwa kutoa mimba mara mbili lakini pia amewai kutumia vipandikizi ama vijiti vya uzazi wa mpango sasa baada ya kunipata mimi alikuwa ametumia sindano za depo nikamwambia akatoe sasa toka alipo pata hezi damu haija acha kutoka kitu ambacho kinanikusesha raha sana kwenye ndoa yangu. Mke wangu anamiaka 26,naombeni mnisaidie nawezaje kupata ufumbuzi wa tatizo hili. Pengine uliwai kusikia mtu mwenyeshida kama ya mke wangu akapona au wewe ni doctor,kwa ufupi naomba mnisaidie ili niifurahie ndoa yangu changa hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Doctor mtaalam wa mambo hayo ya kina mama na anayajua Sana mambo hayo kwakua yeye mwenyewe ni mwanamke na aliwahi kupitia shida hizo, sasaivi ni mshauri mzuri Sana kwa wanawake wanaotaka kujiingiza katika matumizi hayo ya Nyota ya kijani (vipandikizi na njia nyinginezo)

Anapingana sana na matumizi ya madawa ya kuzuia uzazi japo yeye ni mtaalam na muajiriwa wa serikali. Kifupi hayo madude yana siri kubwa sana kwa vizazi vyetu na afya zetu. Nitaongea naye kama atakubali nitakuelekeza Hospital anakopatikana ila tu usije ukawa ni spy maana hawa watu wana mbinu sana.

Mkorintho wa 6
 
Nitashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu hilo tatizo litapotea baada ya muda flan kama miezi 6 mpaka mwaka wakati mwengine ila unaweza tumia dawa zifuatavo kupunguza bleeding na ku i stop kabisa kama ikiwezekana
Tumia ibuprofen kwa siku saba nenda pharmacy watakuandikia dozi kulinganana na uzito wa mgonjwa
Pia unaweza tumia estrogens supplements kwa ajili ya ku balance hormones
Lastly nakushauri usitumie hizo njia za uzazi wa mpango sawa ni nzuri ila personally sikushauri
Unaweza tumia kalenda withdrawal au condom ni salama zaidi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom