Amwambie ukweli kuwa ananuka ili ajisafishe vizuri akitoka chooniKuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha mda mwingine asipende kufanya nae mapenzi,,, msaada wenu jaman tatizo nini na tunaweza kumsaidia nn ili kutoa harufu mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Okey inawezekana kwamba huwa ajisafishi sehem zake etiAmwambie ukweli kuwa ananuka ili ajisafishe vizuri akitoka chooni
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn anaonekana ni binti msafi sana yani ukimuona kwa haraka haraka
Inawezekana ni msafi na anajisafisha, ila hizo sehemu zina namna yake ya kusafisha, nadhani tuwasubiri jinsia ke waje wataelezaLkn anaonekana ni binti msafi sana yani ukimuona kwa haraka haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ww kweli unadanganya rafiki yakoKuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha mda mwingine asipende kufanya nae mapenzi,,, msaada wenu jaman tatizo nini na tunaweza kumsaidia nn ili kutoa harufu mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hamna cha rafiki ako wala nn sema ni wewe mwenyew ila poa tu utasaidiwa ngoja wajuzi waje.Kuna rafiki yangu anampenzi anae mpenda sana tatizo kwamba kila akikutana nae kimwili mpenzi wake anatoa harufu mbaya inayo sababisha mda mwingine asipende kufanya nae mapenzi,,, msaada wenu jaman tatizo nini na tunaweza kumsaidia nn ili kutoa harufu mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hamna cha rafiki ako wala nn sema ni wewe mwenyew ila poa tu utasaidiwa ngoja wajuzi waje.